Baada ya ku-do....!!!?

Digaller

JF-Expert Member
Oct 20, 2009
745
427
Utakuta umetumia maufundi yako yote kumridhisha demu na yeye akafurahia sana tu kwa kumfikisha kunako ila hata siku moja hatokupa sifa/hatokushukuru kwa kunaniliu vizuri. Je kwanani wanawake mnakuwa wagumu kushukuru kwa kufanywa vizuri? Nawasilisha.
 
Gbollin,

Ukifanya vizuri lazima atoe shukrani ya dhati - Wasiwasi wangu ni kwamba wewe haujawahi kufanya vizuri!
 
Utakuta umetumia maufundi yako yote kumridhisha demu na yeye akafurahia sana tu kwa kumfikisha kunako ila hata siku moja hatokupa sifa/hatokushukuru kwa kunaniliu vizuri. Je kwanani wanawake mnakuwa wagumu kushukuru kwa kufanywa vizuri? Nawasilisha.

we unakumbuka KUMSHUKURU?
AU NI JUKUMU LAKE?
 
Utakuta umetumia maufundi yako yote kumridhisha demu na yeye akafurahia sana tu kwa kumfikisha kunako ila hata siku moja hatokupa sifa/hatokushukuru kwa kunaniliu vizuri. Je kwanani wanawake mnakuwa wagumu kushukuru kwa kufanywa vizuri? Nawasilisha.
utakuwa una under-perform ndio maana hawakugongei THANKS
 
hujambo shosti?
usisahau kababu zako,
ukifika muda wa kyai, nishtue, ninazo kibao!!!!!

haaaaaaaaa aimekula kwako babu..LEO NTAKUWA BZE NA BABA E NOCK!!!!!!
akiniachia poa ntakuja la sivyo panda umu :car:sepaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!mwanaume gan uyoga unakushnda...SKUTAKKKKK
 
Una bahati mbaya sana ukiona hivyo jua hawaridhiki na utaalam wako
Jaribu kujifunza mautundu
 
Utakuta umetumia maufundi yako yote kumridhisha demu na yeye akafurahia sana tu kwa kumfikisha kunako ila hata siku moja hatokupa sifa/hatokushukuru kwa kunaniliu vizuri. Je kwanani wanawake mnakuwa wagumu kushukuru kwa kufanywa vizuri? Nawasilisha.

Neno ulilolitumia hapo kwenye bold si stahiki na linadhalilisha. Na kuhusu kushukuriwa nadhani ni swala la kinadharia zaidi. Wewe unaweza kuona umejitahidi kumridhisha mwenza lakini kumbe hujafikia ufundi wa aliekutangulia kwanza kwahiyo juhudi zaidi zinatakiwa unapokutana nae wakati unaofuata. Wanawake wengi husadiki na hupongeza wanapofikishwa wanapohitaji kufika ukiona kimya ujue hujafanikiwa kumfikisha pale anapohitaji.
 
Hapa nabisha, kama unapigaga bao vizuri atakwambia asante au polee.

Unaweza kufunga goli na akakuambia pole kwa kukukuruka sana na hatimae kufunga goli. Ile asante inakuwa ya juu juu tu ila lililopo moyoni hakuambii ikiwa hujafanikiwa kumfikisha. Nina experiance ya kuambiwa "you are good on this" kwa all my X. Kwahiyo unaweza kuambiwa pole or thanks lakini usiambiwe "you are good on bed"
 
Neno ulilolitumia hapo kwenye bold si stahiki na linadhalilisha. Na kuhusu kushukuriwa nadhani ni swala la kinadharia zaidi. Wewe unaweza kuona umejitahidi kumridhisha mwenza lakini kumbe hujafikia ufundi wa aliekutangulia kwanza kwahiyo juhudi zaidi zinatakiwa unapokutana nae wakati unaofuata. Wanawake wengi husadiki na hupongeza wanapofikishwa wanapohitaji kufika ukiona kimya ujue hujafanikiwa kumfikisha pale anapohitaji.

asante kwa kumwelimisha
u luk gentlo n so yr head.
 
Back
Top Bottom