Baada ya Kikwete kumkaribisha Lowassa, Bashe amwambia yeye ndiye alisababisha aondoke CCM

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
460A14EA-ED42-4046-AFA9-89FCEFF3B25E.jpeg

Kwa wajuvi wa mambo hii inaashiria nini.

MY TAKE:
Labda kama hizi twitter ni fake lkn kama siyo fake, Hii si dalili njema kwa mstakabali wa umoja na mshikamano ndani ya chama. Hata kama yuko sahihi Bashe ame misbehave, ame over react, aelewe huyo ni kama mzazi wake na ni kiongozi wake kichama aliyewahi kushika top office nchini.
 
Patamu hapo Twitter KUMENOGA hahahahahaha lol!

View attachment 1035596

Back
Top Bottom