Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,706
- 149,939
Binafsi sijajua ni nini hasa Spika ameongea kuhusu kutaka ofisa/mtu yoyote anaetaka kumkamata Mbunge ampe kwanza taarifa yeye kama Spika kabla ya kumkamata Mbunge yoyote.
Lakini nikikumbuka jinsi Naibu Spika alivyojibu muongozo wa Zitto kuhusiana na swala la wabunge kukamatwa na mambo mengine ya nyuma(aliyoyatolea muongozo,n.k) binafsi naona anapwaya sana na namshauri ni bora tu akajiuzulu hasa kwa kushindwa kulinda na kutetea Haki,Kinga na Madaraka ya Bunge kama Spika atakuwa amem-prove wrong kulingana na alivyotolea muongozo swala hilo.