Inashangaza sana wana chadema kukata tamaa baada ya Kalenga;lile jimbo mbunge wake marehemu mgimwa alikuwa bado ni kipenzi cha wananchi, lakini pia ccm bado ina mizizi maeneo mengi ya vijijini nyanda za juu kusini; lakini muhimu zaidi ni kwamba tofauti na siasa za kuruthishana arumeru kwa sioi, kwa kalenga ni kitu cha kawaida kwani wahehe wanarithishana hata wake; chadema inahitaji kuwa well measured, organised and calculated katika uelewa wa geo-politics za nchi yetu; hakuna siasa za zitto kalenga, ni geo politics tu chadema hawakuzisoma;
Cc MTAZAMO, Candid Scope, JokaKuu, Jasusi
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Sidhani kama viongozi wa CDM walikua hawajui kama mkoa wa Iringa ni ngome ya CCM kama ilivyo mikoa ya Singida,Tabora,Dodoma,Pwani,Lindi na Mtwara!
Jambo moja linanitatiza kuhusu Iringa ni kwamba huu mkoa wenyeji wake ni wachapa kazi wazuri kulinganisha na mikoa mingine niliyo orodhesha hapo juu. Sasa tatizo la Iringa ni nini hasa?
Last edited by a moderator:

