2008(kama sikosei kutokana na chuki za kikabila) tulipokea wakimbizi kutoka kenya
2001 mpaka 2003 makambi ya wakambizi kutoka burundi yalifurika wakimbizi hapa nchini
Miaka ya 2014 kama sikosei kikwete alifurumusha wahamiaji haramu kutoka hako kanchi unakokasifia.
Majeshi yetu yapo DRC
NOW WHO IS GIANT hapa eastafrica?
Ulipata kusikia habari za kukomboa visiwa vya hapo jirani?
Kila kitu kipo calculated hatwendi kichwa kichwa muda ukifika mashujaa wetu watatimba huko na habari mtazipata.
Nchi yako inaruhusu dual citizenship? Hamia rwandaMagaidi wa Msumbiji wamechinja wanavijiji wenu bado mnasema mnafanya "calculations".....hehehe!!!
Rwanda kainchi kadogo ila Kagame ameweza kuonyesha anastahili kuwa rais wa Afrika, amepambana na magaidi kuanzia Somalia hadi Msumbiji, hajakunja mkia...sasa ndiye huyu anapokea wakimbizi kutokea Libya, hapa katupiga bao hata Wakenya.
Hebu soma huu uzi hapa chini, yaani kainchi kake kadogo hata hakajifikia saizi ya mkoa wenu wa Kagera ila mahesabu yake ni ya mbali sana Kwanini nchi ya Rwanda imeendelea kuliko Mkoa wa Kagera?
Nchi haifanyi maamuzi kwa kufuata mkumbo wala kwa hisia.Msumbiji kama Tanzania tumewasaidia sana.au hulijui? Ila sasa tunalinda mipaka yetu.Magaidi wa Msumbiji wamechinja wanavijiji wenu bado mnasema mnafanya "calculations".....hehehe!!!
Rwanda kainchi kadogo ila Kagame ameweza kuonyesha anastahili kuwa rais wa Afrika, amepambana na magaidi kuanzia Somalia hadi Msumbiji, hajakunja mkia...sasa ndiye huyu anapokea wakimbizi kutokea Libya, hapa katupiga bao hata Wakenya.
Hebu soma huu uzi hapa chini, yaani kainchi kake kadogo hata hakajifikia saizi ya mkoa wenu wa Kagera ila mahesabu yake ni ya mbali sana Kwanini nchi ya Rwanda imeendelea kuliko Mkoa wa Kagera?
Ni hivi serikali zote za kisoshalist zina propaganda nyingi kuliko matendo.Hii nchi yangu Tanzania kwenye vita ni fisi za ,
Tulitia aibu DRC Congo wanajeshi wa Tanzania walivyo chinjwa kama kuku na vitoto vidogo vya Kitusi, na ndio beefu ya Kikwete na Kagame ikaanzia hapo
na ukweli wa Uganda Idd Amini alikimbizwa na waasi wa Uganda, ndio tukapata nafuu ya kumalizia, na tulivyo toka hapo, uchumi wetu ulikuwa sawa na mkoa wa Kagera, Tukaenda kuomba chakula Marekani, tukapewa mahindi ya njano, na kupata chakula cha mgao nchi nzima ndio ikawa DUKA LA KAYA
Akarupuka Mmasai, na kuanza kukamata watu wanarudi kutoka Kenya na ka Colgate kamoja akiwaita Wahujumu Uchumi. ilikuwa ni kutafuta mchawi kuwahadaa Watanzania ambao kwa ujumla maisha yao kila siku ni kutafuta mchawi wa umasikini wao badala ya kufanya kazi na kujituma.
Na Mozambique hatuendi tunaoogopa na huo ndio ukweli wenyewe.
We jamaa akili unazo ila ziko wima wima ,nchi ya watu60 mil+ sio ya kukurupuka kimaamuzi Kama uyo lol model wako kagame.sio kila issue iki rise basi na sisi tuchukue maamuzi, unaweza uka i cost yako.Magaidi wa Msumbiji wamechinja wanavijiji wenu bado mnasema mnafanya "calculations".....hehehe!!!
Rwanda kainchi kadogo ila Kagame ameweza kuonyesha anastahili kuwa rais wa Afrika, amepambana na magaidi kuanzia Somalia hadi Msumbiji, hajakunja mkia...sasa ndiye huyu anapokea wakimbizi kutokea Libya, hapa katupiga bao hata Wakenya.
Hebu soma huu uzi hapa chini, yaani kainchi kake kadogo hata hakajifikia saizi ya mkoa wenu wa Kagera ila mahesabu yake ni ya mbali sana Kwanini nchi ya Rwanda imeendelea kuliko Mkoa wa Kagera?
We jamaa akili unazo ila ziko wima wima ,nchi ya watu60 mil+ sio ya kukurupuka kimaamuzi Kama uyo lol model wako kagame.sio kila issue iki rise basi na sisi tuchukue maamuzi, unaweza uka i cost yako.
Kila wakati nakuombea uwe na akili lakini jitihada zangu zmegonga mwamba

Hehehe!! Unachekesha bana.... Utachoka sana kuombea watu humu kwamba lazima kila mtu humu ajishushe na kuwaza uwazavyo.
Nyie endeleeni kusubiri na kukaa vikao vya kutafakari na kutathmini na kudadavua kama kuna uhitaji wa kufanya maamuzi ilhali wavaa makobazi wa kutokea Msumbiji wanaingia kwenu na kuchinja wanavijiji.
Kagame amefanya maamuzi ya kuwahisha wanajeshi wake wawakingie kifua, yeye jeshi lake sio la mapambo, yaani sio la kuonyesha ubabe wa kupasua matofali siku za maadhimisho tu.
Huyu jamaa yetu mk 254 ni wazi anaonekana anashida ,Kama sio ya kimaisha basi ubongo wake utakuwa hauna ushirikiano na maamuzi (psychological problems)Mkuuu cha kujiuliza, Kenya ni kubwa kuliko Rwanda, imechukua waLibya wangapi?
Vichwa vingine bana. Vimebakia na akili ya kuvuka barabara na kurudi nyumbani.
Naona katika dua zako, unapenda sana iwe kama the way you wish.
Tanzania ni imara, kulinganisha na nchi nyingine yoyote ukanda huu. Na kwa taarifa yako. Tulijihusisha sana na vita kote kote ukanda huu bila kuangalia hasara. Sasa tumechukua muelekeo mpya. Tutapigana pale inapolazimu kwetu, siyo inapolazimu kwa nchi nyingine.
BTW jiandae kwenda bongo kushanga na kupanda double decker electric SGR.
🤣🤣🤣
Hao wanakijiji wanaochinjwa sijui wako wapi ?.Tuko vizuri ndugu ,sisi tuna defend kwanza mashambulizi ni mipango dhabiti.Ndio Mana bajeti kubwa mnaweka kwenye ulinzi lakini kila uchwao Alshabab wanawatwanga,sababu mnakurupuka.Aya na nyie muwapokee walibya nchi yenu Si kubwaHehehe!! Unachekesha bana.... Utachoka sana kuombea watu humu kwamba lazima kila mtu humu ajishushe na kuwaza uwazavyo.
Nyie endeleeni kusubiri na kukaa vikao vya kutafakari na kutathmini na kudadavua kama kuna uhitaji wa kufanya maamuzi ilhali wavaa makobazi wa kutokea Msumbiji wanaingia kwenu na kuchinja wanavijiji.
Kagame amefanya maamuzi ya kuwahisha wanajeshi wake wawakingie kifua, yeye jeshi lake sio la mapambo, yaani sio la kuonyesha ubabe wa kupasua matofali siku za maadhimisho tu.
Ko kuteleza kwenye SGR Kwa muda mrefu ndo kumekufanya uweje labda.kila kitu ni mipango,nyie mmeanza sisi tunajikongoja tutafika .ukitaka kupata kila kitu Kwa haraka lazima uta risk mambo mengi.Rwanda washazoea kuzulula nchi Kama congo kufanya upolaji wa Mali ,sisi tushazulula nchi nyingi kufanya ukombozi.sasa jambazi na mkombozi akili hazifanani ,kagame sio boya apeleke wanajeshi msumbiji anajua anachotakaUimara ni pale wanavijiji wanaishi kwa amani bila uwoga, ila sasa wenu hao wanachinjwa na magaidi ambayo mumeogopa kutoa ushirikiano kuwaangamiza, nyie mnataka wanajeshi wenu waonyeshe tu ubabe wa kupasua matofali kwenye maadhimisho.
La SGR naona linakubabaisha sana maana umeganda Buza....hehehe!! Sisi tumeteleza kwa SGR sijui mwaka wa ngapi sasa, tumeingiza hela hadi basi.
Hao wanakijiji wanaochinjwa sijui wako wapi ?.Tuko vizuri ndugu ,sisi tuna defend kwanza mashambulizi ni mipango dhabiti.Ndio Mana bajeti kubwa mnaweka kwenye ulinzi lakini kila uchwao Alshabab wanawatwanga,sababu mnakurupuka.Aya na nyie muwapokee walibya nchi yenu Si kubwa
Yaani unanishangaza unasema kuchinjwa ,nlikuwa mtwara mjini tukio wakati linatokea.Unavyoli zoom na jinsi tukio lilivyotokea vitu viwili tofauti.Ilo tukio sio big issue Kama unavyovimbisha mishipa kulishupalia,JWTZ walifanya yao saizi kambi zipo mitaa hiyo na walikimbizwa hao vibaka wakakimbilia kwao uko.punguza mihemko utakufa mirungi na githeri utaiacha, Bado inakuitaji.Aisei!! Kumbe wewe nawe ndiye zero kabisa kwenye taarifa, huna habari magaidi 300 waliingia kwenye nchi yako na kuchinja wanavijiji, maana kwamba upo upo tu, ila napenda namna huwa mnavyokua, kwamba hata mzinguliwe kivipi huwa mnajiaminisha amani amani na maisha yanaendelea, nahisi inasaidia mpaka magaidi wanaona huruma na kujiendea zao.
CHeck video ya mkuu wenu wa polisi akielezea namna magaidi walivamia
Uimara ni pale wanavijiji wanaishi kwa amani bila uwoga, ila sasa wenu hao wanachinjwa na magaidi ambayo mumeogopa kutoa ushirikiano kuwaangamiza, nyie mnataka wanajeshi wenu waonyeshe tu ubabe wa kupasua matofali kwenye maadhimisho.
La SGR naona linakubabaisha sana maana umeganda Buza....hehehe!! Sisi tumeteleza kwa SGR sijui mwaka wa ngapi sasa, tumeingiza hela hadi basi.
Yaani unasumbuka sana kuona tuko na utulivu na amani na uimara ambao haumithiriki. Wewe usivyo na hata chembe ya soni, kenya ambayo imeoza, ambayo alshabab wanawafanya wanavyotaka. Halafu unakuja hapa unanyanyua mdomo wako, eti wanavijiji wanauawa. Tuweke takwimu hapa kati ya Tanzania na Kenya nani ni hot bed for terrors!!!?
Unavyochangia hapa uwe unatumia hata akili. Vinginevyo msemo huu, holds water for you... "siyo kila mzee ana busara na hekima, hata wajinga wanazeeka".
We jamaa unataka kuibuka mshindi ili kuupoza msongo wa mawazo unaokuandama ,na sie hatuna hiana acha tukubali unachotaka Mana tushajua ni mtu wa aina ganiSisumbuki naona huruma maana huniumiza kila nikisoma taarifa za magaidi kuchinja popote duniani, na haswa kwa nchi ambao mnafukia vichwa ardhini.