Wazo zuri, Watanzania! nani afanye hivyo! hatujitambui-subiri response you will judgeWana jf.
Nimeona uzi ukizungumzia Jamii Media kufungua kesi mahakamani juu ya sheria ya makosa ya kimtandao.. Kwa jinsi nilivyomsikiliza ndg MELO inaonekana sisi watumiaji ndio tutakaokuwa hatarini na wengine wataogopa kufichua maovu wakiogopa msumeno huu wa sheria unaowapa nguvu sana polisi.
Kwa maoni yangu napendekeza uongozu wa Jamii Media uweke namba za simu na acc za benki ili tuweze kuchangia uendeshwaji wa kesi hii ambayo zaidi inatuhusu sisi watumiaji.
Asanteni.
Tuchangie kuendeaha kesi ya kupinga sheria? Sheria iko sawa tumia mtandao kwa weledi vinginevyo miaka kdhaa itakuhusu tu segerea
Nyie ndo walewale! Sheria ifuatwe kama hujui matumizi ya mtandao kwa ustaarabu uwajibishwe tu. Badala tuchange kununua hata madawati eti kuendesha kesi ili watu waruhusiwe kukiuka ustaarabuAisee sijawahi kuona kiazi kama wewe!!!
Nadhani unaweza kuteketeza mb na moderator wasipofucha siri zako na wakizoto pale zunapohitajika unaweza pia kuteketeza muda wako police na usymbufu zaidii...hii kesi unatuumiza sisi zaidiKuteketeza MB zetu humu ni mchango tosha.
Kwani kesi iliyofunguliwa ni ya kutaka watu waendelee kukiuka taratibuNyie ndo walewale! Sheria ifuatwe kama hujui matumizi ya mtandao kwa ustaarabu uwajibishwe tu. Badala tuchange kununua hata madawati eti kuendesha kesi ili watu waruhusiwe kukiuka ustaarabu
Achana nae huyo sijui ni mjumbeAisee sijawahi kuona kiazi kama wewe!!!