Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Tatizo la kuisha maji katika mabwawa ya kuzalisha umeme kumezaa makampuni ya umeme wa dharura ambayo mpaka Leo yapo Richa ya kupachikwa jina la Migenerator ya dharura. Historia inaonyesha kutokana na Tatizo hili la umeme kutazaliwa tena mitambo mingine ya kifisadi? Je nilini tutatatua Tatizo la umeme Nakuachana Na mitambo ya dharura? Maana kwasasa tupo gizani