Ni wapi hamna ufisadi TZ hii? Huko kwenye vyama vyenu ndiyo majambazi yamejificha. Kama siyo mzee wa kiumri basi ni mzee wa jf (ref lini ulijiunga)
CHADEMA wanamdharau sana Rais SSH kwa kuwa ni mpole, wanataka afuate matakwa yao. Hapana akifanya hivyo atakuwa siyo Rais wa Tanzania. Freeman Mbowe yeye mwenyewe hachezewi hivi akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA.Tatizo Mbowe alikuwa na haraka sana ya kukutana naye..."mama" alivyoanza kuupiga mwingi akaona yeye na wenzake wanapoteza relevancy wakabadili gia angani na kuanza kudai katiba mpya kwa ubabe huku akijua kabisa matokeo yake.
Hivi mbowe na sabaya kwa sasa wana tofauti?Ulitaka Chadema wasikemee uvunjifu wa sheria kwasababu palikuwa na miadi ya kukutana na Rais?
Wacha ushamba.
Buddah kenya kuna katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ila what is always happening kwenye kila uchaguzi?Hahahahahaha Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi itainua nchi yetu sana. Watanzania kura zetu zitaanza kuheshimiwa na hivyo kuchagua Viongozi watakao bila chama chochote kile kupora uchaguzi.
Chama kilicho madarakani KIKIVURUNDA uchaguzi unaofuata kinaondolewa na kuwekwa kingine.
Katiba itaheshimiwa na yoyote atakayeidharau wa chama chochote kile cha moto atakiona.
Watanzania tutakuwa na uhuru na haki ya kuikosoa Serikali ya chama chochote kile bila hofu ya kutekwa na kupotea au kuuawa.
Mahakama zitakuwa huru kufanya kazi kwa haki na si ilivyo hivi sasa ambapo zinatumika na genge la wahuni wa maccm kubambikia kesi FEKI za ugaidi, uchochezi, uhujumu uchu
Vyombo vya habari vitakuwa na uhuru na haki ya kufanya mijadala yoyote ile hata kama itaikosoa Serikali bila hofu ya kufungiwa au kutekwa.
Ripoti za CAGs zitaheshimiwa na kufanyiwa kazi vile ipasavyo hivyo kumaliza wizi, ubadhirifu na ufisadi uliokithiri ndani ya taasisi mbali mbali za Serikali.
Heshima yetu kama Nchi ambayo sasa imepotea itarudi tena na Tanzania na Watanzania kuheshimiwa tena popote pale duniani.
Hii ndiyo Tanzania niitakayo mimi.
Weekend njema Mkuu kumbuka kuchukua hatia zote za tahadhari dhidi ya COVID-19 ikiwemo kuvaa mask 😷 🙏🏾
Buddah kenya kuna katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ila what is always happening kwenye kila uchaguzi?
Rais wetu alindwe na magaidiWala hatutaki .
Kashapoteza akili huyu bibi.Rais Samia yupo madarakani sasa kwa miezi minne.
Katika muda wake huo madarakani, amekutana na makundi kadhaa sasa: vijana, wazee, maaskofu, akina mama, nk.
Sina hakika kama keshakutana na Waislamu wenzake. Nadhani bado hajakutana nao. I wonder why…maana tayari keshakutana na Wakristo!!
Miezi mitatu iliyopita Mheshimiwa Freeman Mbowe wakati akihutubia taifa alisema kuwa wamemwandikia barua mheshimiwa Rais na kuomba wakutane naye.
Mpaka sasa Bi. Mkubwa hajakutana nao. Sijui amepanga kukutana nao lini.
Na baada ya kukamatwa kwa Mbowe na hizo tuhuma za ugaidi tulizoambiwa, sijui kama huo mkutano wao utakuja kutokea!
Maana itakuwa ni maajabu Rais wa nchi kukutana na ‘gaidi’ na kufanya naye mazungumzo.
Bi. Mkubwa anaupiga mwingi huku kazi ikiendelea.