Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,016
- 142,781
Ulitaka Chadema wasikemee uvunjifu wa sheria kwasababu palikuwa na miadi ya kukutana na Rais?Tatizo Mbowe alikuwa na haraka sana ya kukutana naye..."mama" alivyoanza kuupiga mwingi akaona yeye na wenzake wanapoteza relevancy wakabadili gia angani na kuanza kudai katiba mpya kwa ubabe huku akijua kabisa matokeo yake.
So kudai katiba ni kosa?Tatizo Mbowe alikuwa na haraka sana ya kukutana naye..."mama" alivyoanza kuupiga mwingi akaona yeye na wenzake wanapoteza relevancy wakabadili gia angani na kuanza kudai katiba mpya kwa ubabe huku akijua kabisa matokeo yake.
Yani Rais asiwe na ubavu ila kina Mdude wanao sio?.Samia hana ubavu wa kukutana na Mbowe tena, ameshapoteza muelekeo na hajui wapi ataanzia kujenga imani yake kwa wapinzani na wananchi kwa ujumla ukiondoa wale waimba mapambio wa lumumba.
Sio kosaSo kudai katiba ni kosa?
Subra miaka yote! Bajeti ipi unasemea,kama bajeti ya kununua ndege haikuwepo na wamenunua hata katiba wafanye hivyo.Sio kosa
Subra muhimu
bajeti yake wanayo?
ama wanadai tu
na mwakani kuna sensa
Katiba aliyoratibu JK ilifeli wapi?.Subra miaka yote! Bajeti ipi unasemea,kama bajeti ya kununua ndege haikuwepo na wamenunua hata katiba wafanye hivyo.
Pia wapunguze posho za wabunge kwa asilimia 70 pesa zitapatikana.
Makamanda mmezira?Wala hatutaki .
Sizitaki mbichi hizi🐇Makamanda mmezira?
Tatizo ni timimg ya kuidai hiyo katiba na nguvu iliyokuwa inatumika, walijua walichokuwa wanakotafuta na wamefanikiwa kwa % kubwa.So kudai katiba ni kosa?
Rais Samia yupo madarakani sasa kwa miezi minne.
Katika muda wake huo madarakani, amekutana na makundi kadhaa sasa: vijana, wazee, maaskofu, akina mama, nk.
Sina hakika kama keshakutana na Waislamu wenzake. Nadhani bado hajakutana nao. I wonder why…maana tayari keshakutana na Wakristo!!
Miezi mitatu iliyopita Mheshimiwa Freeman Mbowe wakati akihutubia taifa alisema kuwa wamemwandikia barua mheshimiwa Rais na kuomba wakutane naye.
Mpaka sasa Bi. Mkubwa hajakutana nao. Sijui amepanga kukutana nao.
Na baada ya kukamatwa kwa Mbowe na hizo tuhuma za ugaidi tulizoambiwa, sijui kama huo mkutano wao utakuja kutokea!
Maana itakuwa ni maajabu Rais wa nchi kukutana na ‘gaidi’ na kufanya naye mazungumzo.
Bi. Mkubwa anaupiga mwingi huku kazi ikiendelea.
Nguvu iliyokuwa inatumika ilikuwa sio kukemea kuvunjwa kwa sheria ila kudai katiba bila kusikiliza upande wa pili na lugha iliyokuwa inatumika ilikuwa "confrontational" , kwa nini nguvu hiyo na ubabe haukutumika wakati wa Magufuli ?Ulitaka Chadema wasikemee uvunjifu wa sheria kwasababu palikuwa na miadi ya kukutana na Rais?
Wacha ushamba.
Tatizo ni timimg ya kuidai hiyo katiba na nguvu iliyokuwa inatumika, walijua walichokuwa wanakotafuta na wamefanikiwa kwa % kubwa.
Kwanini nguvu hii haikutumika kabla ya kuingia uchaguzi mkuu 2020?
Kwani kudai katiba ni kosa kisheria?Tatizo Mbowe alikuwa na haraka sana ya kukutana naye..."mama" alivyoanza kuupiga mwingi akaona yeye na wenzake wanapoteza relevancy wakabadili gia angani na kuanza kudai katiba mpya kwa ubabe huku akijua kabisa matokeo yake.