Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,933
- 218,737
Ushahidi huu hapa
Suzan chiwanga wa mlimba anatia mashakaMkuu,utaua watu kwa pressure,wapumzishe walau wanywe maji.
Kubabake wacha nitukane. Utadhani kampeno tayari.
Mwaka huu hawatatumia bunduki tena labda waje na mabomu ya nyukilia. Bado hajaja Baba Mwenye Nyumba The Excellence Tundu Lissu kututia moto wa shangwe.
Kwnn mkuuSuzan chiwanga wa mlimba anatia mashaka
😆😆😆😆Mkuu,utaua watu kwa pressure,wapumzishe walau wanywe maji.
ccm Zanzibar kuna makundi 10Malizeni vurugu zenu tukitoka Dodoma muwemshamaliza utotowenu.wazee wa kazi tujetuondoe uchafu mlioacha mitaani.
Acha kabisa...ukiteremka pale Bunda napo balaa...Bado kule Serengeti kuna Simba jike naye karejesha.
Viva chadema.
Makundi yashavunjwa leo hii Dodoma.ccm Zanzibar kuna makundi 10
umedanganyika kibwege sana !Makundi yashavunjwa leo hii Dodoma.
Sasa hivi ni mashambulizi ya pamoja zidi ya wapinzani wenye nguvu Tanzania act,nccr,cuf,chauma,n.k.umedanganyika kibwege sana !
Malizeni vurugu zenu tukitoka Dodoma muwemshamaliza utotowenu.wazee wa kazi tujetuondoe uchafu mlioacha mitaani.
Tunakuja kusafisha uchafu mlioacha mitaani.Mlioko Dodoma ni wanawake, mbeleko zenu halisi bado ziko, ndio hizo zinatumia bunduki huko.