Kwa Chadema Majimbo ya Hai, Mbeya mjini, Iringa mjini, Arusha na Tarime Vijijini ni kama wameyamilikisha kwa watu binafsi, hii si Sawa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,992
142,008
Kwa mfano Mzee Mgaya akitaka kugombea ubunge Iringa mjini anaambiwa hapa Mbunge wa Wananchi ni mchungaji Msigwa

Ukienda Mbeya Bujibuji naye hana chake Mbunge wa Wananchi ni Sugu

Hali ni hiyohiyo Kawe kwa Mdee, Tarime kwa Heche, Arusha kwa Lema, Ikungi kwa Lisu nk....nk

Hii si Sawa mnawabania Vijana Chama kina watu wengi wenye uwezo

Mlale unono!
 
Nipo Mbeya Mjini, CCM siwapendi ila Tulia inaonesha yupo karibu sana na makundi mengi katika jamii kuliko Sugu alivokua akiwa mbunge, kura hata zikipigwa Leo simwoni Sugu akipita.

Kipindi cha 2015 -2020 alijisahau sana Sugu, ali concentrate na mambo yake binafsi.
 
Ni sawa na nyinyi CCM mlivyojimilikisha nchi yetu,hamtaki wengine watawale
CCM ni vile vile Ruangwa kwa Majaliwa, Ismani kwa Lukuvi (ingawa wanamng'oa 2025).

Tanga kwa Umy, kule kwa Celina Kombani, Rujifi kwa Mchengelwa nk nk nk hadi wastaafu ama sponsor afe
 
Back
Top Bottom