Kama mambo yako hivi usitarajie ndoto yako kutimia.Ni nchi ambayo ina makamu wa Rais ni mtoto wa rais na ni mla bata Dunia nzima hakuna mtu fisadi kama huyu jamaa anayeitwa "Teddy Nguema"...Hata ukienda instagram ukiandika jina lake anakuja jamaa anajipost na bata tu na pesa za umma hadi maslay Queen wakibongo wakimfollow kwa wingi
Yeah wanaweza kufanya maigizo ionekane hivyoUhuwenda museveni akapinduliwa na kijana ake mwenyewe
Kwahiyo kwa uoni wako mfupi unataka.kusema Demokrasi la afrika.imefeli naomba unitajie Nchi gani Afrika iliwahi kuwa na demokrasia na hiyo demokrasia ikafeli kuleta matarajio ya wananchi?Afrika kuna matatizo mengi sana kwakweli ambayo ni vigumu kuyatatua sababu demokrasia ambayo mie naiona ni upumbavu, ishafeli pakubwa sana.
Hizi coup d'etat zinazofanywa na wanajeshi zidi ya viongozi wabinafsi,mafisadi n.k, hazitokuja kutatua matatizo haya kamwe, kwani ni suala la mda tu watarudi kule kule.
Wame laanikaWatu weusi ni Wapuuzi sana, kuanzia Viongozi.
hata mi sijawah sikia mkuu, kumbe hili bara lina ushenzi kiasi hicho aisee.Aisee.
I never heard that shit
Waafrika ni incomplete human beings.Lakini Waafrika sisi aisee dah.....nimeshindwa kujua kama nicheke au nilie!
Kweli kama tulilogwa basi huyo aliyetuloga ilibidi hata aiuwe tu asili yetu maana tunafanyaga vitu fulani vya kipekee halafu vya kishenzi sana.
Hawa mafisadi wakipatikana waingiliwe kwa mparange.hata mi sijawah sikia mkuu, kumbe hili bara lina ushenzi kiasi hicho aisee.
Yaani makamu wa raisi anakula bata na anapost insta ilhali nchi yake ni maskini wa kutupwa.
Itapendeza sana wakifika masharikiWanakuja huko,Kisha Cameroon then Afrika ya Mashariki
Wew ni mjinga sana, sababu umeniquote kwa dharau ulivyosema (ety kwa uono wangu mfupi), hua sipotezi mda wangu kujibu maboya kama wew.Kwahiyo kwa uoni wako mfupi unataka.kusema Demokrasi la afrika.imefeli naomba unitajie Nchi gani Afrika iliwahi kuwa na demokrasia na hiyo demokrasia ikafeli kuleta matarajio ya wananchi?
Yes, na inaweza isiwe kijana wake, ila nachelea kuhisi hawezi pindua2027 mabeberu watakua wameshamuondoa ili kusudi pia kumdhibiti kijana wake ambae wengi wanahofia inaweza kuchukua muda mrefu tena kumuondoa huyo kijana wake akifanikiwa kutwaa mamlaka.Uhuwenda museveni akapinduliwa na kijana ake mwenyewe
πππJamaa amekuudhi sana.Kumbe Tz tuna uafadhari aisee.
Wanapeana vyeo lakini walau keki inaliwa na koo nyingi. Karibu kila mahali kuna wala keki tofauti.
Sasa huyo mwamba anavaa kama Rambo na ni makamu wa raisi πππ, anakula bata na anapost insta kabisa.
Tz ni waoga wa maandamo ila trust me ikifika stage kiongozi anafanya hivyo hakyanani hamalizi mwezi.
Demokrasia imeshindwa afrika? Nchi gani afrika iliwahi kuwa na demokrasia ili tupate mfanoWew ni mjinga sana, sababu umeniquote kwa dharau ulivyosema (ety kwa uono wangu mfupi), hua sipotezi mda wangu kujibu maboya kama wew.
Tatizo ni mindeset za wananchi wa nchi husika mkuu.Hawa mafisadi wakipatikana waingiliwe kwa mparange.
Hakuna namna
Hapa bongo fisadi anagawa buku tanotano kwenye mikutano wananchi wanaanza kumsifiaTatizo ni mindeset za wananchi wa nchi husika mkuu.