Baada ya "fukuzafukuza", ni nini kingine kitamtoa Mkuu wa Kaya kwa muda uliobaki?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Umaarufu wa Mkuu wa Kaya umejengwa zaidi na fukuzafukuza na si kitu kingine chochote.

Mpaka sasa sijasiki sifa au pongezi zinazotokana na uongozi bora,siasa safi,kujenga uchumi bora,kuonyesha muelekeo wa kuboresha maisha ya watu, n.k.

Sasa ili aendelee kubaki kwenye chati, atahamishia majeshi wapi,Je ,atageukia kwenye chama?Akimaliza na huko, ataegeukia wapi kama sio kwa wateule wake mwenyewe?

Baada ya yote hayo,tutarajie reshuffle za kufa mtu maana ndio kitu pekee kitakachokuwa kimebaki.
 
Mbona kick anazo nyingi kama ya kukataza mchanga wetu usisafirishwe, na kituo cha mabasi.
Usisahau na mafanikio ya madawati
 
Eti kick, sidhani kama ni sahihi kusema kinachofanyika ni kick. Mie naamini mh. anafanya kazi na sick. Tujaribu kuchagua namna nzuri ya kutumia maneno yetu
 
Ni sahihi kuchagua maneno mazuri, mpano angeandika "peration..."
 
Ujenzi wa reli ya kisasa,ndege karibu zinawasili. Pia usisahau mahakama ya mafisadi itaanza kufanya kazi siku si nyingi na yule fisadi maarufu ambaye Chadema walimtangaza kwenye orodha ya fedheha mwembe yanga atakuwa mmoja wa watu wa mwanzo watakaopelekwa mahakamani.
 
Eeeh kweli wengi mnamuota kila sekunde...na bado hapa kazi tu...mazoea ya zamani yaondoeni mtaona mengi yake mazuri.
 
yeye ni mwenyekiti wa chama tawala yeye ni amiri jeshi mkuu wa majeshi na vikosi vya ulinzi na usalama so lolote alifanyalo lazima litasemwa na kuangaliwa na watu wengi yy hatafuti kiki bali kiki zinamtafuta yy ni ufipa pekee ndo inabidi mtafute kiki ili wananchi au watanzania wasiwasahau coz last time i check yy ndio mtu anaezungumziwa sana kwenye mitandao,radio,magazeti,tv mpka tv za china mpka ww unajaza saver za jf kwa kumzungumzia mpaka mwanasheria wenu mkuu anatafuta kiki kupitia jina lake
 
Umaarufu wa Mkuu wa Kaya umejengwa zaidi na fukuzafukuza na si kitu kingine chochote.

Mpaka sasa sijasiki sifa au pongezi zinazotokana na uongozi bora,siasa safi,kujenga uchumi bora,kuonyesha muelekeo wa kuboresha maisha ya watu, n.k.

Sasa ili aendelee kubaki kwenye chati, atahamishia majeshi wapi,Je ,atageukia kwenye chama?Akimaliza na huko, ataegeukia wapi kama sio kwa wateule wake mwenyewe?

Baada ya yote hayo,tutarajie reshuffle za kufa mtu maana ndio kitu pekee kitakachokuwa kimebaki.
Mahakama ya mafisadi kwaajili ya Mnyang'anyi Lowasa hapo atapo fikishwa mahakamani.
 
Ujenzi wa reli ya kisasa,ndege karibu zinawasili. Pia usisahau mahakama ya mafisadi itaanza kufanya kazi siku si nyingi na yule fisadi maarufu ambaye Chadema walimtangaza kwenye orodha ya fedheha mwembe yanga atakuwa mmoja wa watu wa mwanzo watakaopelekwa mahakamani.

Jaji salaome wa tume ya maadili kapiga marufuku viongozi wastaafu kutoa siri za serikali akiwalenga lowasa na sumaye , sasa lowasa ataposhtakiwa kuna siri ya serikali itakayobaki ?

Jaribu kutumia kichwa kupambanua mambo na sio kuipa adhabu shingo kubeba likitu zito lisilo na tija
 
Naona unasubiri kwa hamu kushikishwa ukuta tar.1,anza mazoezi kabisa.
 
Mbona kick anazo nyingi kama ya kukataza mchanga wetu usisafirishwe, na kituo cha mabasi.
Usisahau na mafanikio ya madawati

Madawati amechangiwa na watu wa kawaida. Hakuna sehemu serikali imetoa fedha zake.
 
Umaarufu wa Mkuu wa Kaya umejengwa zaidi na fukuzafukuza na si kitu kingine chochote.

Mpaka sasa sijasiki sifa au pongezi zinazotokana na uongozi bora,siasa safi,kujenga uchumi bora,kuonyesha muelekeo wa kuboresha maisha ya watu, n.k.

Sasa ili aendelee kubaki kwenye chati, atahamishia majeshi wapi,Je ,atageukia kwenye chama?Akimaliza na huko, ataegeukia wapi kama sio kwa wateule wake mwenyewe?

Baada ya yote hayo,tutarajie reshuffle za kufa mtu maana ndio kitu pekee kitakachokuwa kimebaki.

Akimaliza kufukuza ataajiri tena aliowafukuza ili awafukuze tena mara ya pili kwa kukosa vigezo vya kuchaguliwa ama kuchaguliwa kimakosa! Picha linaendelea!
 
Eti kick, sidhani kama ni sahihi kusema kinachofanyika ni kick. Mie naamini mh. anafanya kazi na sick. Tujaribu kuchagua namna nzuri ya kutumia maneno yetu
vipi yule aliyewaita watoto wa wenzie villaza na yeye alichagua namna nzuri ya kutamka maneno...ulimpa ushauri kama huu??
 
hili lilitakiwa lifanyike kimya kimya ni aibu sana kwa taifa letu maana nilikutana na jamaa fulani wa Ghana akaniambia amesoma kwenye mtandao raisi akisisitiza madawati akaniuliza hivi hadi karne hii kuna mwanafunzi hana dawati? nilimpotezea nikaanzisha mada nyingine kabisa
Hivi la madawati ni achievement ya kujisifia?
 
Ujenzi wa reli ya kisasa,ndege karibu zinawasili. Pia usisahau mahakama ya mafisadi itaanza kufanya kazi siku si nyingi na yule fisadi maarufu ambaye Chadema walimtangaza kwenye orodha ya fedheha mwembe yanga atakuwa mmoja wa watu wa mwanzo watakaopelekwa mahakamani.

vyote ulivyovieleza hapo ni story ya kusadikika hii inaonesha ni namna gani watanzania tunavyoishi kwa ndoto sio uhalisia wa maisha.

kuna raisi fulani wa nchi fulani alimwambia rais wa taifa hili anaongoza maiti huu ni ushahidi tosha.
 
Mahakama ya mafisadi kwaajili ya Mnyang'anyi Lowasa hapo atapo fikishwa mahakamani.

chenge hawezi kwenda kwakuwa bado yupo gambani hii ni maalumu kwa wale wanaohama ccm ila ukiwa mwiz upo ccm huwez kuwa mwiz unakuwa mwiz ukitoka ccm.
 
Back
Top Bottom