Baada ya Escrow, nyota ya Pinda itang'aa zaidi kisiasa kuelekea 2015

Baada ya kubainika kuwa waziri mkuu Pinda alilengwa kuchafuliwa na mahasimu wake wa kisiasa ili kuchafuliwa kuipitia sakata la ESCROW, na hatimaye ukweli kubainika kuwa hakuna ushahidi wowote wa kumuhusisha na jambo hilo, natabiri kuwa nyota ya PINDA itang'aa zaidi baada ya sakata hili kuelekea 2015. Sababu ni hizi zifuatazo:-

-Imedhihirika kuwa Pinda alikuwa anahujumiwa na kufitiniwa
-Wapinzani wake wamepata pigo kubwa baada ya kushindwa vita hii
-Pinda amewavutia wengi kujua kwanini apigwe vita na hivyo atapata sympathy ya wananchi
-Pinda amedhihirishia uwezo wa kuongoza serikali katika kipindi kigumu, cha crisis, tena Rais akiwa hayupo nchini
-Pinda amepimwa uwezo wake wa kuamua mambo bila jazba wala papara
-Pinda atapata ari na nguvu kubwa ya kusonga mbele baada ya escrow
-Timu ya Pinda sasa itakuwa na ari kubwa ya mapambano

Kwa Mh.Pinda Waziri Mkuu, Jambo hili ni kama bahari ya SHAM, Maana ilikuwa njia kwa Musa na Kaburi kwa Utawala Farao na Jeshi lake, Bahari ya SHAM ilisafisha nyota ya Musa.
 
Ni aibu kubwa sana hasa kwa nchi maskini kama hii tunashabikia viongozi wezi kwa kupewa hela..

Pinda hana usafi wowote hapa.. yote yaliyofanyika na yanayofanyika aliyajua na anayajua.. Wizi ni wizi na yeye kama msimamizi wa serikali alipashwa kujua nini kinaendelea na siyo kukurupuka tu..

Hafai kuwa hata diwani kwani siyo kiongozi mwenye msimamo.. anafuata mkumbo tu...

Pinda out..
 
Baada ya kubainika kuwa waziri mkuu Pinda alilengwa kuchafuliwa na mahasimu wake wa kisiasa ili kuchafuliwa kuipitia sakata la ESCROW, na hatimaye ukweli kubainika kuwa hakuna ushahidi wowote wa kumuhusisha na jambo hilo, natabiri kuwa nyota ya PINDA itang'aa zaidi baada ya sakata hili kuelekea 2015. Sababu ni hizi zifuatazo:-

-Imedhihirika kuwa Pinda alikuwa anahujumiwa na kufitiniwa
-Wapinzani wake wamepata pigo kubwa baada ya kushindwa vita hii
-Pinda amewavutia wengi kujua kwanini apigwe vita na hivyo atapata sympathy ya wananchi
-Pinda amedhihirishia uwezo wa kuongoza serikali katika kipindi kigumu, cha crisis, tena Rais akiwa hayupo nchini
-Pinda amepimwa uwezo wake wa kuamua mambo bila jazba wala papara
-Pinda atapata ari na nguvu kubwa ya kusonga mbele baada ya escrow
-Timu ya Pinda sasa itakuwa na ari kubwa ya mapambano
pepo jingine hilo. PINDA MWIZI.
 
PINDA.jpg
 
Pinda hafai kuwa Rais, Rais ambaye hataki lawama wakati yeye ndo mwenye dhamana ya nchi, hataki
 
haro yani pinda wamemuongezea spead ya kwenda ikulu jaman ilo limejidhihirisha wazi bungen pinda anaenda ikuwa wazi wazi kabisa go go go pinda .
 
Mafisadi wanahangaika kutafuta pa kumchafua lakini hawapaoni

Sakata la escrow ni aibu kwa mafisadi wakiongozwa na fisadi Mkuu Lowasa

Na nawaeleza MWISHO WA FITINA NI AIBU.

Kuna haka kajamaa kalikopewa dakika 5 na Mbatia. Yaan kamefyatuka urojo mtupu had mtu unapata kinyaa.

Jiwe kuu la pembeni hili. Waashi wamechemka!

Nakwanza wasimpande kichwani mzee huyu. Bado ananguvu zake,hata shambani atalima tu. Sio #GOIGOI kama #LOWASA .
 
Attachments

  • 1417170478343.jpg
    1417170478343.jpg
    22 KB · Views: 49
Thread zenu anaye anzisha na wanaozisupport ni walewale na lugha yao ni ileil jaribuni basi kubadilisha kimojawapo.
 
Back
Top Bottom