Boss la DP World JF-Expert Member Joined Dec 12, 2021 Posts 2,707 Reaction score 9,515 Sep 21, 2026 Thread starter #41 S.M.P2503 said: Labda ubadirishe jina lako na ujiite Wicknell Chivayo, ndio utapewa hiyo ruksa... Click to expand... Kama alinipa bandari atashindwa kunipa kei?
S.M.P2503 said: Labda ubadirishe jina lako na ujiite Wicknell Chivayo, ndio utapewa hiyo ruksa... Click to expand... Kama alinipa bandari atashindwa kunipa kei?
Mczigga JF-Expert Member Joined Feb 20, 2020 Posts 742 Reaction score 1,295 Sep 21, 2026 #42 MFALME WETU said: wenzio washaanza kumtongoza na kumla we endelea kusubiri Click to expand... Mbona mapema sana mkuu
MFALME WETU said: wenzio washaanza kumtongoza na kumla we endelea kusubiri Click to expand... Mbona mapema sana mkuu
B Bengalensis Member Joined Sep 12, 2024 Posts 54 Reaction score 72 Sep 23, 2026 #43 Boss la DP World said: Wakuu kuna jirani yangu amefiwa na mume wake, ni jimama hivi zuri zuri lina asili ya mwambao wa pwani. Swali langu ni je, baada ya siku 90 za Eda naruhusiwa kumtongoza? Click to expand... unajua kilichomuua marehemu? tuanzie hapo kwanza
Boss la DP World said: Wakuu kuna jirani yangu amefiwa na mume wake, ni jimama hivi zuri zuri lina asili ya mwambao wa pwani. Swali langu ni je, baada ya siku 90 za Eda naruhusiwa kumtongoza? Click to expand... unajua kilichomuua marehemu? tuanzie hapo kwanza
peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 17,476 Reaction score 29,693 Sep 23, 2026 #44 JK atamla hata kabla ya kimaliza Eda!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,487 Reaction score 195,289 Tuesday at 9:56 PM #45 Hapana, kwa sababu siyo size yako... Cc: Mahondaw