Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,843
- 102,808
Ruksa ruksan sheikh!Weye ni Islam maridhawa.Na kwako islam,ndoa nne si kharamu.Naaam,inaswihi!Wakuu kuna jirani yangu amefiwa na mume wake, ni jimama hivi zuri zuri lina asili ya mwambao wa pwani.
Swali langu ni je, baada ya siku 90 za Eda naruhusiwa kumtongoza?
Inshallah ngoja ningoje eda ipite nimpakie mkongoRuksa ruksan sheikh!Weye ni Islam maridhawa.Na kwako islam,ndoa nne si kharamu.Naaam,inaswihi!
Jazaka la kheiri maalim.Nakuombea dua njema ututunzie huyo bibie kama mtume wetu (SAW)alivyomtunza bibi Hadija.Inshallah ngoja ningoje eda ipite nimpskie mkongo
Alhamdulilah sheikh, nitakualika viziwani kwenye harusi yetu kabla sijaanza kumpelekea moto wa mtume.Jazaka la kheiri maalim.Nakuombea dua njema ututunzie huyo bibie kama mtume wetu (SAW)alivyomtunza bibi Hadija.
aiseee nakuonea wivu utakavyofaidi mkuuKwamba waombolezaji wanaweza kumla?
Jimama lina vijimaneno inaelekea limefundwa kwahiyo layajua mambo.aiseee nakuonea wivu utakavyofaidi mkuu
wenzie wanatongoza kwenye kutoa pole za rambirambi yeye amebweteka tu.Jamaa yupo nyuma sana kama mkia.
Kuna mwanamke nakumbuka aliliwa siku ya mazishi ya mumewe kule kinyerezi. Mumewe kazikwa mchana ikachapwa usiku kucha
😁haya, nakutakia mafanikio memaJimama lina vijimaneno inaelekea limefundwa kwahiyo layajua mambo.
Inshallah😁haya, nakutakia mafanikio mema
Khaawenzie wanatongoza kwenye kutoa pole za rambirambi yeye amebweteka tu.
mimama mingine hizo sheria za kidini za EDA haziwahusu! so unaruhusiwa mara moja sio kuwatongoza bali hata kuwakumbatia kama yule bonge nyana wa Zimbabwe!Wakuu kuna jirani yangu amefiwa na mume wake, ni jimama hivi zuri zuri lina asili ya mwambao wa pwani.
Swali langu ni je, baada ya siku 90 za Eda naruhusiwa kumtongoza?
Mimi nataka eda iishe ili nimpige mashine kihalalimimama mingine hizo sheria za kidini za EDA haziwahusu! so unaruhusiwa mara moja sio kuwatongoza bali hata kuwakumbatia kama yule bonge nyana wa Zimbabwe!
Sikuhizi kupiga miti ni mpaka uwe na lawyerBila shaka una lawyer mzuri 😄
Dini inatutaka kuoa na siyo kutongoza, Unaweza kutongoza kwa ajili ya kuzini,Hivyo ungeuliza kuhusu ndoa ningekuwa na majibu.Toa jibu mkuu dini inasemaje kuhusu hilo? Nalihitaji hili jimama
Unaanzaje kuoa bila kutongoza? Mimi nataka nimtongoze baada ya hapo tutaalika shehe kula ubwabwa nianze kuumpiga miti kwa mitindo mbalimbali.Dini inatutaka kuoa na siyo kutongoza, Unaweza kutongoza kwa ajili ya kuzini,Hivyo ungeuliza kuhusu ndoa ningekuwa na majibu.
Labda ubadirishe jina lako na ujiite Wicknell Chivayo, ndio utapewa hiyo ruksa...Wakuu kuna jirani yangu amefiwa na mume wake, ni jimama hivi zuri zuri lina asili ya mwambao wa pwani.
Swali langu ni je, baada ya siku 90 za Eda naruhusiwa kumtongoza?