Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,707
- 9,515
Eda ya kufiwa na mume ni miezi 4 na siku 10Wakuu kuna jirani yangu amefiwa na mume wake, ni jimama hivi zuri zuri lina asili ya mwambao wa pwani.
Swali langu ni je, baada ya siku 90 za Eda naruhusiwa kumtongoza?
Ikiisha naruhusiwa kumtongoza?Eda ya kufiwa na mume ni miezi 4 na siku 10
Ndio unaruhusiwa kumtongoza mkuu,akishamaliza eda yupo freeIkiisha naruhusiwa kumtongoza?
Aloo ntalifaidi sana.Ndio unaruhusiwa kumtongoza mkuu,akishamaliza eda yupo free
Analiwaje kwenye eda?wenzio washaanza kumtongoza na kumlala we endelea kusubiri uambiwe umechelewa sana
Kama anaishi mjini jua ashaanza kuliwaAnaliwaje kwenye eda?
Kwamba waombolezaji wanaweza kumla?😁😁bwahahahaaaa..
eti "analiwaje akiwa kwenye eda"
acha niishie hapa
Jamaa yupo nyuma sana kama mkia.😁😁bwahahahaaaa..
eti "analiwaje akiwa kwenye eda"
acha niishie hapa
Toa jibu mkuu dini inasemaje kuhusu hilo? Nalihitaji hili jimamaKabla ya kukupa jibu naomba nikuulize swali, Ingekuwa mfiwa ni mama yako naungeulizwa swali hilo ungejibu nini? Swali la pili ingekuwa mfiwa ni Dada yako halafu mtu anakuuliza Dada yako akimaliza eda naruhusiwa kumtongoza? Ungejibu nini?
Wewe unaishi wapi kwanza ili tuweze kumjua jirani yako halafu tukushauri vizuriWakuu kuna jirani yangu amefiwa na mume wake, ni jimama hivi zuri zuri lina asili ya mwambao wa pwani.
Swali langu ni je, baada ya siku 90 za Eda naruhusiwa kumtongoza?
EehKama anaishi mjini jua ashaanza kuliwa
Naishi nyumba yapili mkuuWewe unaishi wapi kwanza ili tuweze kumjua jirani yako halafu tukushauri vizuri
Dini ni ujinga?Hii nchi imebarikiwa kuwa na vijana wajinga sana
Unajuaje kama atakukubaliaAloo ntalifaidi sana.