Baada ya DIAMOND , JUX nae Aanika Mkwanja wake Hadharani...!!

Baada ya DIAMOND , JUX nae Aanika Mkwanja wake Hadharani...!!

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,333
​

“Money brings happiness power respect problems enemies and a lot of fake friends but it’s good to have it morng instagram,” ameandika Jux kwenye picha aliyoiweka leo Instagram inayoonesha akiwa ameweka mapajani mkwanja mrefu.
jux1.jpg

​
 
Connecting some dots.
masogange ---->picha---->poda------>rumande-------> JUX------>picha---->????
 
kaazima kwa madame kupigia picha.Ila haka kavulana kanaonekana katamu sijui vya ndani lo itabidi tumuulize gambe

Sio bure umetamani pozi na sixpack,nakuruhusu kaonjepo tuuuu wala haina shidaa
 
​

“Money brings happiness power respect problems enemies and a lot of fake friends but it’s good to have it morng instagram,” ameandika Jux kwenye picha aliyoiweka leo Instagram inayoonesha akiwa ameweka mapajani mkwanja mrefu.
jux1.jpg

​

Kwa hiyo huo ndio mjwanja mrefu!!!!!

Utoto unasumbua sana!
 
Bongo bana!
hata kama mtu anashoot tangazo la NANI MTANI JEMBE sisi tunasema mkwanja wake!
AH!
 
Back
Top Bottom