Michael Uledi
Senior Member
- Mar 29, 2023
- 132
- 322
Gazeti la Citizen Tanzania moja kati ya Magazeti ya Kingereza ambayo yana heshima kubwa Nchini leo April 24,2024 limebeba habari ya jinsi Tanzania ilivyoweza kuzishinda Nchi zote za Afrika katika kitu walichokiita "COVID -19 Vaccination Delivery".
Si ndio hawa hawa WHO ambao walitaka kutuingiza Watanzania kwenye Lockdown? Hongera Mwamba hayati John Pombe Magufuli kuwakatalia mchezo wa lockdown!
WB na IMF baada ya Uchumi wa Tanzania kukua kwa kasi juzi kati wanasema sababu kubwa ya hatua hiyo ni Tanzania ya JPM kuikwepa Lockdown!So what is what!
Najiuliza,baada ya biashara kubwa kwenye COVID -19 Vaccination, what is next deal for WHO in Africa?Je,COVID 19 drama imetufunza lolote Waafrika mpaka leo?,Je,kuna haja ya kuwa na Shirika la afya la Afrika kwa ajili ya kulinda maslahi ya kiafya ya Afrika?
Kuna magonjwa lazima tujifunze kuishi nayo(Kwa Sauti ya hayati John Pombe Magufuli).
What is the next imperialists drama- deal will be the next after COVID 19?
Would it be the WHO or WB & IMF this time?Kuna kitu kizito kinakuja Africa/third World should be watchful!