Was COVID-19 vaccination a deal or reality?

Michael Uledi

Senior Member
Mar 29, 2023
132
322
Kumekuwa na debate nyingi kuhusu uwepo wa uhalisia wa covid-19 Vaccination!Je was the pandemic created or reality?

Kuna cha kujifunza kutokana na ugonjwa huo kwa Nchi masikini?
What is next after COVID 19?

Who will be the planners?would it be the IMF & World Bank au WHO?au nani?

Tusubilie

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Walikimbiza chanjo wakaziuza kwa fadhila za misaada na mikopo nafuu kabla dunia haijazinduka kuzikataa; ili wavuruge utu wa binadamu kwenye mfumo wa vinasaba ili kwamba baadaye huko kutazuka tatizo la afya ya jamii ili waanze biashara nyingine mpya ya madawa na vifaatiba.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kumekuwa na debate nyingi kuhusu uwepo wa uhalisia wa covid-19 Vaccination!Je was the pandemic created or reality?

Kuna cha kujifunza kutokana na ugonjwa huo kwa Nchi masikini?
What is next after COVID 19?

Who will be the planners?would it be the IMF & World Bank au WHO?au nani?

Tusubilie

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mbona imewasaidia mabeberu na COVID 19 imekwisha. unadhani bila chanjo hali ingerejea kuwa hivi?

Kama issue ni madhara mbona dawa za ARV Zina madhara ila Tanzania tunatumia kutibu ukimwi ama mbona CT scan au MRI scan Zina leta saratani sababu ya exposure kwa mionzi ila zinatumika na hamsemi ni mtego wa wazungu?
 
ili wavuruge utu wa binadamu kwenye mfumo wa vinasaba ili kwamba baadaye huko kutazuka tatizo la afya ya jamii ili waanze biashara nyingine mpya ya madawa na vifaatiba.
Biashara kivipi wakati nchi za Afrika tulipewa madawa Bure na mengine kwa msaada wa benki ya Afrika n.k.

Hata chanjo zenyewe zilifanyiwa tafiti kwa pesa za msaada.

Mnaosema hii ni biashara mtueleze Hela walitengenezaje. Btw uchumi wa Dunia ulisimama pesa ikashuka thamani Sasa hasara tu waliyoipata USA ni kubwa tokea vita kuu ya Dunia je unaweza kufidiwa na mauzo ya chanjo?
 
Back
Top Bottom