Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,002
- 14,570
Acha wale nchi ni yao tuwaombee wale vizuriBaada ya bomu zito kutoka kwa balozi Dkt. Bashiru kikao cha dharura kimeazimia mama aanze ziara za kujibu hoja mbalimbali.
Ameambatana na baadhi ya mawaziri ambao wengine anaamini wataongea kauli za fedheha kwa Dkt. Bashiru lakini baadhi yao wameshtukia mtego kama Bashe.
Lakini ifahamike huu ni wakati wa ukame na jua ni kali mno. Hofu yangu ni kushindana na hoja ya dr Bashiru kwa kumzururisha huyu mama juani.
Maumbile yake na umri wake haviruhusu. Wasije wakamuumiza wakajikuta wamemkosa malkia wa nyuki na hivyo ikawa mwisho wa kulamba asali.
Ndioooooo umemaliza kila ki2una akili ndogo sana.
unakumbuka matukio yaliyotokea baada ya kubadilishwa sheria ya kikokotoo na kuvurugwa kwa mifuko ya hifadhi za jamii na yule shetani?
unakumbuka matukio yaliyotokea baada ya kuundwa kwa tume ya OSORO?
Raisi kafanya ziara nyingi tena vijijini siyo yule mpuuzi aliyekuwa anapita barabara kuu na kugawa maburungutu ya noti
ziara ya manyara ilipangwa hata kabla ya huyo bashiru kuongea ujuha wake? kama mzalendo kweli
mbona hajawatetea wakulima wa korosho walipoporwa korosho zao na MAGUFULI?
Mbona hajawambia wanafunzi waliokatazwa kufanya siasa anazofundisha yeye wagomee kauli ile ya kifedhuli
KWSHAKUFA HATARUDI TENA, KAMFUKUENI
Sema tu uko upande wake mazima!Pole sana. Sure ana madhaifu mengi, she is not performing to perfection.... lakini hajaua , hajateka, haja bambika kesi, haja pora fedha za watu, hajapoteza watu, hajafunga watu midomo kusema kwa kiasi fulani... ....kama unavyojua! Kwa hilo niko upande wake sana.
Walitekwa sababu ya upumabvu wao!Namshukuru Mungu lkn some of my beloved ones are no where to be seen
Ila uko upande wakeTrue! alipashwa kujiuzuru kupinga matendo ya killer. She was part of the killer squad by aiding the killer! kwenye sheria wanasema an accomplice...Sijamsafisha hata kidogo. Na ndiyo maana analaumiwa and that is correct, bado amezuia mikutano ya kisiasa ambayo iko kikatiba!
toa kuni mbichi ongeza kuni kavuChochea kuni
Wewe Ni fala,taarifa ya ziara ya Rais ilitolewa toka alivyorudi Misri na Mkuu wa Mkoa wa Manyara..Baada ya bomu zito kutoka kwa balozi Dkt. Bashiru kikao cha dharura kimeazimia mama aanze ziara za kujibu hoja mbalimbali.
Ameambatana na baadhi ya mawaziri ambao wengine anaamini wataongea kauli za fedheha kwa Dkt. Bashiru lakini baadhi yao wameshtukia mtego kama Bashe.
Lakini ifahamike huu ni wakati wa ukame na jua ni kali mno. Hofu yangu ni kushindana na hoja ya dr Bashiru kwa kumzururisha huyu mama juani.
Maumbile yake na umri wake haviruhusu. Wasije wakamuumiza wakajikuta wamemkosa malkia wa nyuki na hivyo ikawa mwisho wa kulamba asali.
Katiba mbovu inayoruhusu wizi wa kuraUko sahihi kabisa.
Ila samia ameingia by default ya katiba, Am I right?
Unafaidika na Nini kwa upotoshaji? Ziara ya Rais imepangwa sababu ya Upuuzi wa Bashiru?Umeshapanick. Matusi ya nini?
Kuna tofauti ya Chawa na Mwanachama!Mnatukaniana wazazi matusi makubwa makubwa subhanallah kisa wanasiasa
Acheni kudhalilishana kisa watu wengine ndugu zanguni
Kwa magu tulikuwa tunaoga maji bwerere.Unadhani tumekusahau enzi za magufuli? Ulikuwa mkali hapa JF! It seems you were left behind by Samia!
Ni Ziara za kawaida na kikazi Kama kawaida ya mh Rais kupita na kukutana na watanzania ili kuwasikiliza na kutatua kero za wananchi na siyo Kama unavyotaka kupotosha hapa kwa chuki zako za kitoto,hakuna wa kuweza kumtikisa Rais Samia,hayupo mwenye ubavu huo na Wala hajazaliwa