ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 931
Ndugu yangu ananieleza haya:
Anaishi nyumba ya kupanga, ana vyumba viwili na sebule. Mwanae wa kiume alikuwa akilala na mabinti (mmoja ni ndugu wa karibu) na binti wa kazi za ndani (house girl). Baada ya muda binti wa kazi akaamua kustaafu kwa hiyari (voluntary resignation). Mtoto wa kiume aliposikia "dada" kaondoka akaanza kulia:
"Mama sasa mimi nitamnyonya nani?" (Haieleweki alikuwa akinyonya nini na kwa muda gani).
Hizi ni sehemu ya changamoto namitihani tuliyonayo juu ya malezi ya watoto wetu ndani ya nyumba tunazoishi na watu wasio ndugu zetu wa damu!!.