Baada ya Binti wa kazi kuaga...

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,130
918
Ndugu yangu ananieleza haya:

Anaishi nyumba ya kupanga, ana vyumba viwili na sebule. Mwanae wa kiume alikuwa akilala na mabinti (mmoja ni ndugu wa karibu) na binti wa kazi za ndani (house girl). Baada ya muda binti wa kazi akaamua kustaafu kwa hiyari (voluntary resignation). Mtoto wa kiume aliposikia "dada" kaondoka akaanza kulia:

"Mama sasa mimi nitamnyonya nani?" (Haieleweki alikuwa akinyonya nini na kwa muda gani).

Hizi ni sehemu ya changamoto namitihani tuliyonayo juu ya malezi ya watoto wetu ndani ya nyumba tunazoishi na watu wasio ndugu zetu wa damu!!.
 

Terimu

Member
Jun 1, 2011
36
36
ndo myaone hayo wazazi, hawa wasaidizi wa nyumbani huwa wanaharibu sana watoto wetu jamani.
 

peri

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,581
1,162
ndo myaone hayo wazazi, hawa wasaidizi wa nyumbani huwa wanaharibu sana watoto wetu jamani.

Tatizo sio mabinti wa kazi. Tatizo liko kwa wazazi wasiojitambua. wanazaa halafu wanawaachia wafanyakazi walee.
 

Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,611
6,274
aliyenyonywa ni bint au mvulana kama ni binti basi kanyonywa chuchu konzi na ndizo zinazomtoa machozi akizikumbuka au anakumbuka jinsi alivokua ananyonywa sigara..
 

Shantel

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
2,020
1,107
Hawa wasichana bwana, sijui wanapatwa na nini, ila wakati mwingine nawalaumu waajiri wao, msichana mtu mzima unakaa nae hata humpi off ingalau atembelee watu wake amalize hamu zake huko, kawe kuna mmoja alikuwa anajipa starehe na kamguu ka mtoto mchanga yaani kuna siku mpaka akakutwa na tajiri yake ni story ya kweli kabiiiisa.....tuwape off hawa wadada waende kuwatembelea watu wao la sivyo kama siyo kufanya hivo anatafuta yeyote humo ndani
 

Vin Diesel

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
9,095
6,321
Hawa wasichana bwana, sijui wanapatwa na nini, ila wakati mwingine nawalaumu waajiri wao, msichana mtu mzima unakaa nae hata humpi off ingalau atembelee watu wake amalize hamu zake huko, kawe kuna mmoja alikuwa anajipa starehe na kamguu ka mtoto mchanga yaani kuna siku mpaka akakutwa na tajiri yake ni story ya kweli kabiiiisa.....tuwape off hawa wadada waende kuwatembelea watu wao la sivyo kama siyo kufanya hivo anatafuta yeyote humo ndani

Dunia ishaisha hii....
 

AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,128
640
ila duh! mm ningemsaka then angeeleza kwann alikua anamyonyesha mwanangu ila na huyo maza kizibo utamlazaje house girl na mwanao wa kiume mdogo na mahousegirl wanavokua na maukame mungu ndio anajua tu mana mda wote wako ndani busy na kazi sa ngapi atatoa maukame yake ndio aman ucku anadili na faza house au watoto wa afaza house wakiume so alitakiwa ampe huyo housegirl wake mda wa kuzurura na kupunguza hizo hisia huko nje ............ona sasa alivomzoesha dogo tabia mbaya loh! ndio mana kwangu nimesema no housegirl kazi zangu zote nafanya alone nikitoka job jion ctaki presure ndani ya house mm ;loh!
 

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,442
2,466
kazi kweli kweli.nani salama? hata akiwa nduguyo pia anaweza fanya hivo hivo
 

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
32,742
22,973
wazazi jitahidini watoto wa jinsia tofauti wasilale chumba kimoja
pia kujenga bond na watoto ili wawe huru kukueleza lolote
tatu, vijana wa kazi wawe off siku 1 kwenye wiki, msiwabanebane sana.
Mlee watoto wenu wenyewe na c kuwaachia hse girls
 

fabinyo

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,828
1,662
...dah,dogo si dogo tena!!yawezekana huyo binti aliacha kazi baada ya boifrend mtoto kuwa hamtoshelezi!!
 

Meritta

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
1,304
291
Wamtafutie dogo mbadala fasta...
wewe shindwa kabisa
dunia hii sijui tunaenda wapi, hawa dada zetu wakazi sijui wana kuwa na mapepo au vp, yupo mwingine
alikuwa anamrazimisha mtoto mdogo wa kiume amlalie sasa sijui ili iweje
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom