jamani hebu muacheni apumue, utafikiri akilivua hilo taji mtavaa nyie. kuna mengi ya kupigia kelele nchi hii zaidi ya hilo la miss tz. nani kanunaaaaa??????:A S wink:
Bibi Bomba lazima aende jela kwa kuvunja sheria za nchi. Ingekuwa huu udanganyifu umetokea nchi za ughaibuni, leo hii bibi bomba angekuwa jela akinyea debe. Ushahidi wa kumpeleka jela upo wazi kabisa na hauna kipingamizi chochote. Mwacheni huyo mshenzy afungwe jela ili liwe fundisho kwa watu wengine. Wanasheria wa nchi hii mpo wapi hamjamfunga huyu bibi?