Baada ya Bibi bomba Kuvua taji

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,038
Reaction score
13,460
Haya ndo yanayotokea
 

Attachments

  • IMG_20141025_225724.jpg
    22.5 KB · Views: 1,511
  • IMG_20141025_225128.jpg
    18.9 KB · Views: 1,393
  • IMG_20141025_224819.jpg
    11.1 KB · Views: 1,347
  • IMG_20141025_224704.jpg
    20.5 KB · Views: 1,319
  • IMG_20141024_172458.jpg
    44.2 KB · Views: 1,416
Bora ya mchawi koliko mfitini shangazi pole sana ndo ulimwengu ulivo
 
jamani hebu muacheni apumue, utafikiri akilivua hilo taji mtavaa nyie. kuna mengi ya kupigia kelele nchi hii zaidi ya hilo la miss tz. nani kanunaaaaa??????:A S wink:
 
wabongo wanaipenda miss tz kushinda katiba,laiti upinzani huu ungalionyeshwa dhidi ya kibabu sit-t-a tungelipata katiba nzuri sana
 
Mkuu the don kama mtu atayajua kuyatafakuru na kuyatafakari hayo basi ni ya maana sana tena ni mazito sadakta
 
Duh! Eti Bibi Bomba, hii nimeipenda kweli.
Ova
 
amsaidie babake kuuza watanzania ktk ukahaba uarabuni - serikali ilimpa kibali:angry:
 
Nani kasema atarudisha hao Rita sijui Takukuru wataenda huko watajifungia weee wakitoka utasikia ushahidi hautoshi tumeshazoea TZ.
 
jamani hebu muacheni apumue, utafikiri akilivua hilo taji mtavaa nyie. kuna mengi ya kupigia kelele nchi hii zaidi ya hilo la miss tz. nani kanunaaaaa??????:A S wink:

Hapumui mpaka arudishe taji apewe mshindi halali. Kwa taarifa tu ni kwamba hakuna anaelitaka twataka avae anaesyahili NUKTA UPO BIBI???!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…