thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,256
- 9,085
- Thread starter
- #81
PoorMachinjio na Stendi ni achievements ndogo sana kwa mtu wa hadhi ya raisi
Ukihesabu stendi zilizojengwaenzi za JK utakesha, lakini hatuwezi kumsifu kwa vitu kama hivyo.
Huwezi kumsifu rais kwa barabara ya kilometa mbili, ya morocco - Mwenge, tena ambayo mradi ulitafutwa na Serikali ya Kikwete.
sisi tunasifu miradi mikubwa kama
1. Daraja la Mkapa alilojenga BWM
2. Daraja la Kwenye mto Malagarasi alilojenga JK
3. Mradi kama Mwendokasi zilizowekwa na JK
4. Uwanja kama wa Taifa uuliojengwa na Mkapa
Tukianza kusifu vitu vidogovidogo tutakuletea hapa mieadi iliyoziduliwa na Mbeba mikasi wa JK Dr Gharib Bilal. na tutakesha humu kuiorodhesha.
Wewe sifu SGR na Stieglers hayo ni mambo makubwa lakini mambo ya machinjio na Stendi ni vitu vidogo sana kwa hadhi ya rais