kaka heshimu uhuru wa wengine ktk kufanya wanayotaka ukitaka kujua hili ni sahihi hii biashara ina soko kubwa na watu wanaendesha maisha yao kuwaita malaya ni kuwabandika lugha tu ya kuwadhalilisha!!! kwan kuna uajabu gani wanatoa service na wewe unalipia shida ni nini? we unadhan anyebeba zege na hawa wadada nani anafanya kazi ngumu? kama huna jibu nyamaza!!