MMU ipo JF, hapa nazungumzia priorities , sasa kama mtu unawekeza muda wako mwingi kwenye mapenzi na ngono wewe utakua ni mtu wa namna gani?? kazi kuchomeka na kuchomoa tu..ndio nini hiyo...kuna muda wa kufanya mambo ya muhimu pia sio kungonoka na pombe 24/7..seriously mtu unakaa kujadili chupi tu??