Baa zenye huduma nzuri Mbeya

Nsimbi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
1,091
1,202
Wadau wapi jijini Mbeya kwenye baa nzuri, yenye huduma nzuri, wahudumu bomba na wenye huduma nzuri?!!!
Je Karembu bar bado inawika? Nataka nitoke mishale ya saa 11 nikapunguze stress japo kiasi. Please let me know.
 
Kama unataka kupunguza kidogo nenda Mbeya carnival kuna wahudumu wachafuwachafu kwa 1k unapata mzigo.
NB: Kinyaa usiende nacho
 
Back
Top Bottom