Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,595
Shida inaanzia kwa wamiliki pia.Tumepata janga la moto mitaa ya Tabata; nikiwa mitaa hii nimeona tabia ambayo tunapaswa kuukemea.
Wananchi waliopo eneo la tukio hakuna misaada wanayotoa kuzima moto; wote wamewasha camera za simu zao wanakusanya habari.
Zipo nyumba za pembeni nna bar na sometimes wapo watoto ndani, badala wananchi wa Tabata wajikite kufanya uokozi wanapiga picha.
Wananchi hao nipamoja na mimi ambaye badala ya kuendelea kutoa misaada nimeona sina vifaa vya kuokoa hivyo nimebaki kuwaletea habari.
Kazi ya kuokoa siyo ya zima moto ni yetu sote
Habari bila picha ni umbeya! Tupia kapicha ili tuone!Tumepata janga la moto mitaa ya Tabata; nikiwa mitaa hii nimeona tabia ambayo tunapaswa kuukemea.
Wananchi waliopo eneo la tukio hakuna misaada wanayotoa kuzima moto; wote wamewasha camera za simu zao wanakusanya habari.
Zipo nyumba za pembeni nna bar na sometimes wapo watoto ndani, badala wananchi wa Tabata wajikite kufanya uokozi wanapiga picha.
Wananchi hao nipamoja na mimi ambaye badala ya kuendelea kutoa misaada nimeona sina vifaa vya kuokoa hivyo nimebaki kuwaletea habari.
Kazi ya kuokoa siyo ya zima moto ni yetu sote
Mawakala wa AZUMAAisee hii bar🙌, kuna wakati niliingia hapo nililetewa nyonyo nzima nzima ya uso na lishangazi, huku upande wa kushoto na kulia mashangazi mengine yananipapasa kifua na shingoni hapo ni baada ya kuwapa ofa ya shisha na bia mbili mbili, pale ni kiwanda cha kukata nyege na mawakala wa AZUMA ndipo walipoweka kambi
Wazee wa nongwa, wewe ni Mzaramo?Shida inaanzia kwa wamiliki pia.
Tajiri Mlokozi anakejeli Wahitimu wa Degree kwamba ni Mbumbumbu kwa sababu hawana hela kama yeye na kwanba hakuna wanachojua.
Anasahau pesa anayoingiz inatokana na wanancachi hao hao.
Hawa matajiri wakishapata wanawaone wenzao hawana maana hawana Mbele wala nyuma.
Sasa mtu kama huyo akiunguliwa utamsaidia vipi?
Ushaambiwa ni bar ya Tajiri kaamua kuichoma ajenge nyingine kuonyesha kwamba yeye hela anazo.....watanzania hawasaidii kuzima moto wao kupiga video na picha aibuuu
Akonde vipi wakati kaichoma mwenyewe?Daah yule dada atakonda sasa na asipokuwa makini hata rangi itabadilika
Kama kaichoma mwenyewe sawa. Yan kaichoma kimkakatiAkonde vipi wakati kaichoma mwenyewe?
Akonde vipi wakati kaichoma mwenyewe?
Haya mambo yule mchungaji aliyetabiri kifo cha lowasa alitabiri pia akisema slip way,kitambaa cheupe,uwanja wa fisi na liver side anaona kuna majanga yatatokea,juzi liverside kumeungua,haya leo kitambaa duh.Nipo kwenye gari nimeshindwa kupiga picha ila hali ndio ilivyo kwasasa.
Habari zaidi nini chanzo cha moto ni huko baadae, wahusika wakija kuhojiwa.
View attachment 2913280
Wanaharibiana biashara tuuuUshaambiwa ni bar ya Tajiri kaamua kuichoma ajenge nyingine kuonyesha kwamba yeye hela anazo
[emoji23][emoji23][emoji23]Wazime na nini na kutwa wanalalamika humu maji hayatoki?
Sio liver side! bali ni River side...hivi shule mlienda kuongeza ukilaza?Haya mambo yule mchungaji aliyetabiri kifo cha lowasa alitabiri pia akisema slip way,kitambaa cheupe,uwanja wa fisi na liver side anaona kuna majanga yatatokea,juzi liverside kumeungua,haya leo kitambaa duh.
Tutahamia sayari ndogo pale Bima.Walevi leo tutalewa wapi?