Ba.Ed ya DUCE Vs Ba.Ed ya ST.Ag main campus

Erick zeph Stanley

JF-Expert Member
Apr 25, 2013
647
72
Wakuu nimetingwa hapa naomba mnisaidie kati ya hii koz ya Bachelor of Art with Eductatio ya DUCE na ile Bachelor of Art with Education ya ST.AUGUST hasa ya main campus, Je kati ya hivyo vyuo viwili kipi kinatoa Ba.Ed kushinda chenzake?
 
Kwa nijuavyo mimi, DUCE ni Campus ya UDSM, sawa na MUCE tu. Hata Cheti huwa kinaandikwa UNIVERSITY OF DSM, sasa we linganisha tu, na nadhani UDSM ni Chuo bora East Africa, na ipo kwenye 10 best Africa. Sio kwamba SAUT ni pabaya, HAPANA, siwezi kukiongelea coz sina xperience nayo. Asante
 
haya kaka nimekuelewa vizuri
 
Sijui sana kuhusu SAUT but nipo aware sana na DUCE

Tusaidie basi mwana kwa uelewa wako.
Nadhani DUCE kuhusu Ba.Ed ni kwamba, mtu anakuwa na masomo mawili ya kufundishia (mf. English lg & Geography), anayasoma kiundani sana, lkn pia anakuwa na kozi nyingine za ualimu (educational courses, mf. Psychology, Curriculum & Teaching, Philosophy, na kozi nyingine), hizi kozi unazusoma kwa uelewa ili ikusaidie ktk ufundishaji wa wanafunzi wa sekondari. Nadhani nimejitahidi kwa uwelewa wangu.
Mambo mengine kama utayakuta Chuo kama modality ya mitihani na utaratibu mwingine.
Lastly, ushauri wangu menda DUCE. Asante
 
Akhsanteh mkuu kwa maelezo yako
 
Back
Top Bottom