BA Anthropology UDSM inahusu nini?

BA Anthropology UDSM inahusu nini?

BA Anthropology UDSM inahusu nini? Kama mtakumbuka niliomba msaada kuhusu BA degree ya Anthropology sasa nimechaguliwa kwenye hiyo.Wakuu naleta tena uzi tena napenda kujua kindan kuhusu hili.

Hii inahusu historia ya mambo ya kale, utafanya research sana. Trip za kwenda kilwa, Zanzibar, arusha zitakua zako.
Kiufupi ni Anthropology inahusu human societies, culture and their development.
 
Asante Mkuu ngoja nijiandae kwenda kwa kina Yaakheeee nataka Urojo
 
Ujiandae vizuri hii course inaitaji uelewa mkubwa kwasababu hakuna kukariri, unatakiwa kusoma vitabu vingi sana vya historia.
Kama haujazoea kwenda library inabidi uzoee tu.
Kuna jamaa mmoja alikua anasoma hii course, sasa hivi anafanya research mbalimbali na mashirika ya nje.
 
Nashukuru Mkuu naona na wewe umefanya tafiti kuhusu hii coz.
 
Back
Top Bottom