BA Anthropology UDSM inahusu nini?

BA Anthropology UDSM inahusu nini?

NEMEZIZ

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
563
Reaction score
337
Habari zenu na amani iwe nanyi.Wakuu,nilikuwa naomba kusaidiwa mwanga kidogo juu ya hii. Nilichagua kitivo cha BA of Anthropology pale Udsm lakini sijaelewa inahusu nini hata katika soko la ajira kwenye hili ipoje.Kwenu Wakuu
 
Tafuta waliosoma kozi hizo wakuambie maisha yanaendaje!
Sawa mkuu lakini nimeleta kwa wakuu wa jamvi naaamini watakuja naona kwa sasa wapo kwenye shughuli zao za kujenga taifa
 
Habari zenu na amani iwe nanyi.Wakuu,nilikuwa naomba kusaidiwa mwanga kidogo juu ya hii. Nilichagua kitivo cha BA of Anthropology pale Udsm lakini sijaelewa inahusu nini hata katika soko la ajira kwenye hili ipoje.Kwenu Wakuu
Mmh hii hali.wacha wenye ujuzi waje
 
Sawa mkuu lakini nimeleta kwa wakuu wa jamvi naaamini watakuja naona kwa sasa wapo kwenye shughuli zao za kujenga taifa
Hii course inahusu history history tupu hapa kuna ukweli mgumu ambao unatakiwa uukubali

Kwa hii course uliyoichagua utasoma kupoteza muda kama haikuwa kwenye malengo yako.

Na kazi hutapata kama unatokea familia zetu hizi zenye kipato cha kawaida.
 
Asante mkuu umenifungua
 
Habari zenu na amani iwe nanyi.Wakuu,nilikuwa naomba kusaidiwa mwanga kidogo juu ya hii. Nilichagua kitivo cha BA of Anthropology pale Udsm lakini sijaelewa inahusu nini hata katika soko la ajira kwenye hili ipoje.Kwenu Wakuu

Program hiyo ni mpya kwa vyuo vya Tanzania na ni wachache hata hapa JF Elimu wanajua inahusu nini. Jisomee kwenye mtandao na pia unaweza kwenda chuo husika kupata taarifa zaidi. Sidhani kama ni historia, ina ukaribu fulani na sociology. University of Dar es salaam kwenye UNDERGRADUATE DEGREE PROGRAMMES SYNOPSES 2017 yao wanasema: B.A. IN ANTHROPOLOGY

The main goal of the Bachelor of Arts in Anthropology Programme is to prepare students for life, work, and research in diverse local communities, in a knowledge-and information-based economy, and in a world that is highly interconnected. Thus, the programme is designed to train and produce dynamic professionals who are competent and skilful to understand and promote the wellbeing of the people. Using the unique anthropological holistic approach, graduates in Anthropology will be prepared to better approach the social, economic and political issues.
CAREER PROSPECTS
The programme train graduates who are not only sensitive, but also observe, commit and apply skills and tools acquired to an array of roles in the realm of employment, thereby contributing directly or indirectly to the development of nation. There is a huge need for anthropologists in the country and therefore employable in various institutions especially in research on development matters.
Program yeyote mpya ambayo haijazoeleka ina beba risk ukija kwenye uajiri, lakini naona potential kubwa kwenye research especially medical research na development research (NGO kwa mfano).
 
Asante Mkuu Masiya nimepata muongozo ngoja nianze sasa hivi kutafuta
 
Kama unawasiwasi ukifika badilisha omba Librarian kama.lengo liko ktk kuajiriwa
 
Back
Top Bottom