[b]weekend jokes

Jitahidi utembee tembee mitaani kazi zipo..

Umri unakwenda jiulize mzee wako katika umri kama wako alikua anafanya nini..

Kijana stuka stuka
Acha uvivu wa kulima
Acha uvivu wa kuuza chenji
Stuka toka hapo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…