Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Kwani nyengine bado dear?
Mwakani may 16
Kwani nyengine bado dear?
Nilitaka kujua unagombania ubunge jimbo gani?
nataka kuwa mbunge wa kiti maalum kutoka jf
Kwani nyengine bado dear?
dear sir/madame tu inaruhusiwa kama huombi kazi andika mpendwa lol
Bahati mbaya sisi hatutumii viti humu
hellow wanajamii forum wenzangu mwenzenu leo nimezaliwa upyaa...namaanisha cku yangu ya kuzaliwa...namshukuru sana mungu kwa kunifikisha umri huuuu....