[b/]cd za application mbalimbali za computer[/]

[b/]cd za application mbalimbali za computer[/]

Rjohn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
613
Reaction score
130
samahani watu wangu naomba kujua kama hzo cd za application mbalimbali kama "Operating system "
na "Back up " zinauzwa bei gan coz kuna mtu anataka kuniuzia nying xsana yeye hajui bei nami pia sijui bei,nataka nijumue nikauze ikiwezekana! shukran
 
OS mpya inaweza kuwa kama 120,000 tshs ingawa sina hakika sana kwa sasa ngoja wataalamu watatuambia.
 
duu wacha utan bana jomba zote hzo! jamaa hajui anataka kunipga kwa 5elfu, kwan si zinatakiwa kuwa na vgezo flan labda carpasity au za mwaka fulan labda! sina maujanja na hzo mambo thats y naogopa kuji2mbukiza isije kuniozea bure
 
kwahiyo hata akikuuzia empty hutojua afu ndugu yangu kama huzijui kwaniji upurchase
 
chukua kwa bei hiyo. utauza vyema tu
 
Ahsanten kwa ushauri! nafanya fasta najua zkipta cku kadhaa na yeye anaweza ulizia watu lyk i do,then ziz likaingia simba
 
ahsanten kwa ushauri! Nafanya fasta najua zkipta cku kadhaa na yeye anaweza ulizia watu lyk i do,then ziz likaingia simba

kuwa makini ndugu usije kuuziwa feki hapa mjini ohooo!!!
Hakikisha unaonja kwanza
 
duu wacha utan bana jomba zote hzo! jamaa hajui anataka kunipga kwa 5elfu, kwan si zinatakiwa kuwa na vgezo flan labda carpasity au za mwaka fulan labda! sina maujanja na hzo mambo thats y naogopa kuji2mbukiza isije kuniozea bure

simple,usichukue kitu usichokijua!!!au unataka kunambia unatakwenda kujifunza nazo hayo mambo ya compruter?siyo cd za bahati bukuku hizo ukanunua kwa mafungu kwa chinga.
 
simple,usichukue kitu usichokijua!!!au unataka kunambia unatakwenda kujifunza nazo hayo mambo ya compruter?siyo cd za bahati bukuku hizo ukanunua kwa mafungu kwa chinga.

hapana mjomba c zimeandkwa kabisa progam zenyewe sema nimejarb kumchek jamaa yangu flan aje azichek,wasiwas wangu jamaa anaweza nichezea mchezo au kunizunguka c anavijua xsana hv vitu,,, ila sahan1 nahc nitafanikiwa
 
samahani watu wangu naomba kujua kama hzo cd za application mbalimbali kama "Operating system "
na "Back up " zinauzwa bei gan coz kuna mtu anataka kuniuzia nying xsana yeye hajui bei nami pia sijui bei,nataka nijumue nikauze ikiwezekana! shukran
ahaaa kumbe sasa sikuuzii tena.....:rockon:
 
Angalia zisije zikawa za Windows 95, uta update hadi wakufungie wajanja night offer hahaha
 
Back
Top Bottom