B.A.S.H.I.T.E akiwa anaombewa

Kweli huyo bashite.
Mimi sizielewi hizi dini za siku hizi.

Nna uhakika watu hawa muamini Mungu huyu nnae muamini mimi.

Hivi ukipiga Magoti na kuomba mwenyewe chumbani mwako, Maombi yako hayatasikika .

Au watu tunahisi Mungu yuko wapi . . .

Mh niwaache watu na Ubashite wao
 
huuuuuuuuuuuu! oooooooooooooshhhhhhhhhhhh! ooooooooooooooooooooops! aiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
ha ha ha! ili ushinde unahitaji kujinyenyekeza ndo hii!!
 
Kwenye wingi wa imani wakristo wamewekeza sana huko kuliko kitu kitu chengine chochote.
 
Kuna Makanisa mengine yanamambo ya Ajabu Ajabu.
Hivi waumini huwa wameshikwa akili,Sasa tukio kama hilo akili bado haifunguki.


Imani ni bora kuliko dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…