Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 7,992
- 16,357
Imani inapokuwa mzigo
Mchungaji kakanyaga bichwa la Bashite kumuongezea akili. Si unajua jamaa ni box!
Hapa wameshafanikiwa kumtoa roho au bado?
Ha ha ha haaaaaMchungaji kakanyaga bichwa la Bashite kumuongezea akili. Si unajua jamaa ni box!
Afadhali makanisa ya kimwili hakuna hizo mbwembwemakanisa ya kiroho mara waumini wapewe detol mara wapuliziwe dawa za mbu hahaha kazi sana