B.a pr&m | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

B.a pr&m

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mfarisayomtata, Jun 19, 2012.

 1. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Hivi nikimaliza bachelor yangu ya public relations & marketing naweza pata kazi? Au ndo yaleyale?
   
 2. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ndo yale yale..
   
 3. Q

  Qt B Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  unapata,espc marketing zipo ni juhudi zako kutafuta na kuapply as many posts as utakaziziona au kuskia,hakuna kitu kisichokua na faida au kazi its just juhudi tu ktk kutafuta na kukubali kuanzia chini then upande taratibu mpk ufikie malengo ila kama unatka jus afta graduating uwe meneja pr n marketing hapo ndoitakua yaleyale...uskate tamaa,fight and be proud of ur professional utaona itakavyokulipa...
   
 4. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  atakua na kuyaona, sio maghorofa..
   
 5. galagaja mtoto

  galagaja mtoto Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nani alikushauri, au ulikuwa unasoma tu ili mradi unasomea digree? kuwa uyaone mjomba.......
   
 6. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  lazima galagaja utakuwa mwalimu.
   
 7. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kazi zipo za kumwaga na pia unauwezo wa kujiajiri ukipenda
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Makampuni ni mengi hasa haya yakuuza vyombo mtaani utapata!!Tool ni kibegi chako kama cha kuifadhia laptop!!Tool no 1 then unaonyeshwa godwn ukachague tool no2 vyombo vyakuuza sasa hapo wewe utaangalia wepesi kama dawa za meno miswaki sabuni shampoo etc,Kazi ni kwako kijana soma sana!
   
Loading...