B.a in history

B.a in history

Unaweza pata kazi ktk makumbusho ya taifa hua wanahitaji wenye degree yako!pia zipo kazi nyingine hua zinahitaji tu degree ya social sciences so usijali kijana,
 
mimi ni kijana wa miaka 25 nahitimu mwaka huu mwezi juni B.A IN HISTORY CHUO KIKUU MLIMANI DSM(UDSM) ,SASA NAOMBA MCHANGO WA MAWAZO YENU KAMA WADAU KAZI NITAPATA WAPI?.MSAADA PLEASE .
vp mzee still unasota mtaani au ushapata ajira
 
Mtoto wa JK hyu, kamaliza kipindi cha neema, anakula mishahara tu sasa.
 
mimi ni kijana wa miaka 25 nahitimu mwaka huu mwezi juni B.A IN HISTORY CHUO KIKUU MLIMANI DSM(UDSM) ,SASA NAOMBA MCHANGO WA MAWAZO YENU KAMA WADAU KAZI NITAPATA WAPI?.MSAADA PLEASE .
kabla hujaja mtaani anza kuwa na wazo la kuchonga vinyago
 
asa unamtukania nin mwenzio?
Unajua maisha yamebeba mambo mengi. Na siku zote mheshimu mtu sbb hujui riziki yake.
Kuna mtu amesoma BA kiswahili leo ana kazi yake nzuri. Kitu kingine ww ukiwa na kazi usiwadharau wasio na kazi kwasbb maisha ni kupata. Mwingine ameajiriwa analipwa mshahara laki 4 kwa mwezi lkn wapo wanaofanya kazi ya udereva wa daladala lkn ana maendeleo kushinda anayelipwa laki 4.
Haujaona watu walikuwa wana kazi nzuri tu lkn wameastaafu au kuachishwa kazi na wanaishi maisha shida?
Naheshimu sana kila mtu. Kuna dogo hapa mtaani kwetu anarusha nyimbo na tigo pesa lkn ana kiwanja na juzi ametoka kupiga msingi. Lkn utakuta mtu analipwa milion 1 kwa mwezi lkn hata kiwanja hana.
 
Maana halisi ya degree ya kwanza yoyote ile nikumuandaa mtu kuwa trainable aidha kazini au kwa masomo ya juu! Kwahiyo kwanza hakikisha umefanya vizuri sana hata ikiwa degree ya ngoma kama ya Lowassa bado waweza fanikiwa. So jina la degree sio kazi, unless unapewa kazi eti kwa sababu technical know who! Ushauri wangu kwako angalia matokeo yako kwanza utapata kazi nyingi sana, na ukizingatia Tanzania ulichosomea sio unachoenda kufanyia kazi...
"Tanzania ulichosomea sio unachoenda kufanyiakazi"
Wewe ni muongo. Unaujua Muundo wa Utumishi wa Umma wa Mwaka 2002? Unajua unelekeza nini? Kama huuujui utafute uusome ndio utajua ulichoandika kwa mujibu wa Sheria na Kanuni za Utumishi wa Umma ni uongo.
 
Huwa napata ukakasi na majibu mengine ya watu humu JF, KAMA HAUWEZI KUSHAUR AU KUCHANGIA CHOCHOTE NI BORA UNYAMAZE AU UKAE KMY.

kuna muda huwa najiuliza ELIMU MAANA YAKE NI NINI? Naishia hapo....

Ukipata mudaa nenda kwenye meaning & dimension of history.........


Huwa nawashangaa sana watu wanao dharau somo la historia, History offers students the skills of critical thinking, reasoning & analysis of issues and development in all ramifications (Katunzi 1993).


Nilianza kwa kusema elimu maana yake ni nini? Nionavyo mim kuna watu wanasoma mpaka chuo kikuu huku wakiwa hawajui nini wanacho kitaka maishani?


Mfano kwenye hiyo uliyo soma BA.HISTORY huoni chochote cha kukusaidia pa kuanzia?

Najua umesoma kozi nying kweny hiyo Ba.history, ntakutajia chache....mambo ya Archaeology,

Industraization & the rise of working class in Britain,

Philosophies & methodologies of history,

History of sauth africa,

History of East Africa

History of Tanzania, ETC.

History in its simplest way means a study of human activities in the past, a construction of past activities or events.


Kupitia izo kozi utakua umepata exposure kubwa ki mawazo na kimitazamooo, Hata ukiamua kufanya ukulima na ufugaji ukulima wako na ufugaji wako utakua wa manufaa na tijaaa



KUNA POINT MOJA HUWA INATUMIKAGA SANA KWENY SOMO LA HISTORY & GEOGRAPHY INAITWA

"LACK OF CAPITAL"

Ukimtafuta graduate aliye kua na mitazamo mikubwa mikubwa alipo kua chuo kikuu (na alisoma kozi za arts na social science)

Utakuta Graduate akiwa na mawazo na mitazamo atapata kazi katika ofisi kubwa...Then aka hitimu chuo mtaa ukampokea kwa sura tofauti mfano unatokea familia ya ki masikini na pengine mpaka sasa ana miaka mitatu au mi4 na yupo mjini au kijijini

hajapata cha kufanya tangu amalize chuo kikuu mpaka nguo zake zote alizo nunua kwa boom zimeishaa na wa dogo alio waacha shuleni na walio feli anawakutaa wamepiga hatua kubwaaa ( lack of capital, atai define vizuri sanaa )


Pengine anadharau kazi ya laki moja(100,000) per month. Kama una malengo na hauna mtaji na hauna means ya wakukupa mtaji hauna.....Tafuta hata kazi ya securty Guard , KK, G4S, SGA, Worrior.. Fanya kwa malengo huku ukijibana na kujiwekea akiba kwa ajili ya mtaji wa kutimiza malengo yako


kila mtu Mungu kamuumba na bahati yake wapo ambao wanafanikiwa kwa connection za watu wao.....

Najua elimu yetu haimwandai mtu kujiajili...na watawala wetu wenye dhamana ya maamuzi wana hubili kujiajili ikiwa wenyewe hawawezi kujiajiri.....


HUWA NASHANGAA SANA WATU WANAO DHARAU SOMO LA HISTORIA
 
Nenda kalime broo. Kwa hiyo degree utasota sana, labda kama una GPA kali sana vizia vizia huko chuoni weka network ikitoka nafasi ya TAs baki chuoni ufundishe history hapo utakuwa unawasaidia akina Dr. Masebo hapo idarani kusimamia test. Njia nyingine rahisi kama GPA ni kali, unganisha MAsters hapo ili iwe rahisi kuomba ajira chuo. Otherwise karibu mtaani tukalime nyanya
 
Mzee kwel umesoma na hujui waenda wapi??
Poleees
 
Back
Top Bottom