AZSKY G6: Please share your experience

AZSKY G6: Please share your experience

Ndugu km unataka kula kama mwenye haki jisajili multichoice..kuwa mvulivu tu sie tulishazoea toka enzi za HAWK 7777 ndo maana kalaki na30 tuwazia kufanyie mambo mengne!!
Hili ni muhimu kuzingatia huo ushauri pia. Kwanza, Tunachofanya ni wizi wa copyright, kwa hiyo hatuweze kuwa sawa na ile ya makaburu. Pili, stability ya kiasi inategemea sana direction ya satellite mnayochukulia. Pamoja na kuwa S.sport sio stable sana kwenye G6, mjaribu kuangalizia mechi za Epl kwenye channel nyingine laka Mbc, Canal+ n.k ambazo ni stable kidogo. Kwa local channels G6 iko vema sana. Sijajaribu hiyo ya Al Jazeera, ila nina mpango wa kuongeza dish, nitatoa updates.
 
Mkuu, acha kupotosha, inaonekana wewe experience yako katika kutumia hivi vi2 bado ni ndogo. Kwanza kabisa inatakiwa ujue kuwa tunaotumia hii huduma tunaiba tu ili nasi tuwe na angalau ya access ya DS nyumbani hivyo hatuwezi kuwa sawa na wale wanaokula kwa halali. Wengine sisi ni wapenzi wa free to air tv na hii receiver inatupa thamani ya receiver ya Mpeg 4 PLUS pay tvs. Hapo tu DS anasubiri kwa maana DS hauwezi kuitumia kupata free tvs zilizo nje wa muelekeo wa DS. Pia Premium packages ambayo yunaipata hapa DS inauzwa 135,000 wewe unasema bei ya receiver ni bora ununue DS? Ina maana hata bei ya installation ya DS huijui achilia mbali bei ya mwezi. Binafsi mara ya kwanza niliona nimepoteza lengo kwa kununua hii kitu, lakini nilichogundua kua ki2 kikubwa kinachotuangaisha ni stability ya net zetu. Mfano eneo ninaloishi mitandao yote inaspeed ya hatari isipokua Zantel hivyo akili yangu ilikua inanituma nitumie hiyo mitandao ku unlock pay tvs lakini sikupata matokeo mazuri, siku moja nikajaribu hii ambayo ndio slowest ndio imeniletea matokeo mazuri na hata kukatakata inachukua muda sana. Wengine wanasema kinakata kama startimes bahati mbaya mimi ninayo startimes ambayo inakatakata hiyo nimeshindwa kabisa kuitumia lakini hii ngoma ni masaa 24 maana mama yeye ni Magic swahili, Madogo cn na mimi mwenyewe ni ss mwanzo mwisho. Ni kweli napenda kuwe na marekebisho ili isikate kabisa tuzidi kuinjoy lakini sio kusema hamna kitu kabisa kwamba watu wamepoteza - fedha zao laaaa. Mkuu kuwepo nyumbani kwa sisi wapenzi wa mpira na kuchagua game unalolitaka sio jambo dogo, au kuangalia free tvs kutoka kila upande plus ds na Aj sio jambo dogo oh!
Mkuu mimi sina nia ya kupotosha au kuharibu biashara ya mtu yeyote , bali nmetoa angalizo kwa kutumia experience yangu ndogo ili wengine waliokuwa na matazamio kama yangu wafanye maamuzi sahihi. Kuhusu installation ya Dstv na bundle zao sio muhimu kujadili apa coz bei zao ziko wazi. Kweli kama ww ni mpenzi wa free to air chanel G6 inafanya vizur sana bt kama ni mpenzi wa mpira sio cha kutegemea hata kidogo
 
Mkuu kuna mtu humu JF aliniuzia G2 haikuchukua hata mwezi ikakata mazima!alijitangaza weeee na mbwembwe nyiingi,(na ni maarufu sana humu JF kwenye ulimwengu wa Electronics) baada ya kununua na kukata namuuliza tatizo ni nin hajibu,kuanzia PM hajibu, Text Sms hajibu even my calls. Kwa kweli nimemnyamazia na kutomwanika just kulinda heshima yake,bt kama atasoma hapa (najua atajifahamu) afahamu alichofanya sio ustaarabu hata kidogo!
Kwa hivo kuanzia hapo wala sichangaamkii hivi vitu,kwa wanao amin na kuhangaika navo siwalaumu,bt mie nimeingia cost ya almost 600,000 (as nilinunua viwili) bt for nothing!kwa mnaotaka kujaribu good luck but kwa atakayependa ushaur wangu,then kuwa makini..!

kama ni g2 angalia account inawezekana imeexpire maana account za g2 zote ziliisha september 2 kama ni hivyo nenda ui update kwa shilling 19000 tu kwa wahusika

pili.
mbona bei kakupiga sana 600000 kwa mbili mbona ungepata 4 au tatu hapo?
 
perfomance ya leo na jana kwa upande wangu sijaipenda na leo kimekata kabsa....nadhani kuna jambo linafanyika
 
kama ni g2 angalia account inawezekana imeexpire maana account za g2 zote ziliisha september 2 kama ni hivyo nenda ui update kwa shilling 19000 tu kwa wahusika

pili.
mbona bei kakupiga sana 600000 kwa mbili mbona ungepata 4 au tatu hapo?

Mkuu wap naweza update?mie kilichonikera ni kuwa nimemtumia PM kuulizia tatizo nin had havionyesh,Tena PM zaid ya moja kakaa kimyaa!text sms hajibu pia mpaka call hajibu!nilimpa laki 4 kwa viwil,plus madish laki na ishirini madish mawil inakuwa laki na aroboaini!(Hapo nilisahau arisat decoder nilizonunua kwa 80,000 each, so mara mbili laki na sitini)halafu kitu kinaonyesha siku mbili tatu kisha kimyaa!imagine!
 
leta nikutafutie wateja maana people nyomi zinataka G2
 
Mkuu wap naweza update?mie kilichonikera ni kuwa nimemtumia PM kuulizia tatizo nin had havionyesh,Tena PM zaid ya moja kakaa kimyaa!text sms hajibu pia mpaka call hajibu!nilimpa laki 4 kwa viwil,plus madish laki na ishirini madish mawil inakuwa laki na aroboaini!(Hapo nilisahau arisat decoder nilizonunua kwa 80,000 each, so mara mbili laki na sitini)halafu kitu kinaonyesha siku mbili tatu kisha kimyaa!imagine!

Mkuu kama unatumia g2 na imekata kuonyesha pay tvs basi ujue account yake imekwisha muda na aliyekuuzia alipaswa akwambie
Chakufanya wasiliana na mkuu munjy1 atakuuzia account mpya na uendelee kupata pay tv, maana kwa kawaida hawa AZSKY product zao zote zinafanya kazi hata wakitoa mpya bado ile yanyuma itakuwa inapiga kazi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wap naweza update?mie kilichonikera ni kuwa nimemtumia PM kuulizia tatizo nin had havionyesh,Tena PM zaid ya moja kakaa kimyaa!text sms hajibu pia mpaka call hajibu!nilimpa laki 4 kwa viwil,plus madish laki na ishirini madish mawil inakuwa laki na aroboaini!(Hapo nilisahau arisat decoder nilizonunua kwa 80,000 each, so mara mbili laki na sitini)halafu kitu kinaonyesha siku mbili tatu kisha kimyaa!imagine!
kuna jamaa anaitwa munjy1 ana huduma za uhakika ye hata ukipiga simu saa 9 usiku akiisikia atakugea huduma.....hebu tafuta uzi wake mpigie simu akutatulie tatzo lako usizitupe hzo g2 kabsa...kuna jamaa namjua kafungiwa na fundi na alimpiga kweli kweli sasa akaharibu antenna heeeh si akakisusa na matusi kibao jamaa angu kakibeba karekebisha antena leo aakula inji
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, acha kupotosha, inaonekana wewe experience yako katika kutumia hivi vi2 bado ni ndogo. Kwanza kabisa inatakiwa ujue kuwa tunaotumia hii huduma tunaiba tu ili nasi tuwe na angalau ya access ya DS nyumbani hivyo hatuwezi kuwa sawa na wale wanaokula kwa halali. Wengine sisi ni wapenzi wa free to air tv na hii receiver inatupa thamani ya receiver ya Mpeg 4 PLUS pay tvs. Hapo tu DS anasubiri kwa maana DS hauwezi kuitumia kupata free tvs zilizo nje wa muelekeo wa DS. Pia Premium packages ambayo yunaipata hapa DS inauzwa 135,000 wewe unasema bei ya receiver ni bora ununue DS? Ina maana hata bei ya installation ya DS huijui achilia mbali bei ya mwezi. Binafsi mara ya kwanza niliona nimepoteza lengo kwa kununua hii kitu, lakini nilichogundua kua ki2 kikubwa kinachotuangaisha ni stability ya net zetu. Mfano eneo ninaloishi mitandao yote inaspeed ya hatari isipokua Zantel hivyo akili yangu ilikua inanituma nitumie hiyo mitandao ku unlock pay tvs lakini sikupata matokeo mazuri, siku moja nikajaribu hii ambayo ndio slowest ndio imeniletea matokeo mazuri na hata kukatakata inachukua muda sana. Wengine wanasema kinakata kama startimes bahati mbaya mimi ninayo startimes ambayo inakatakata hiyo nimeshindwa kabisa kuitumia lakini hii ngoma ni masaa 24 maana mama yeye ni Magic swahili, Madogo cn na mimi mwenyewe ni ss mwanzo mwisho. Ni kweli napenda kuwe na marekebisho ili isikate kabisa tuzidi kuinjoy lakini sio kusema hamna kitu kabisa kwamba watu wamepoteza - fedha zao laaaa. Mkuu kuwepo nyumbani kwa sisi wapenzi wa mpira na kuchagua game unalolitaka sio jambo dogo, au kuangalia free tvs kutoka kila upande plus ds na Aj sio jambo dogo oh!

Mimi huwa nalipia Compact + Sina shida na movie wala series za Mnet, maana niko ahead kwa kila movie na series zao!! Pamoja na hayo sh 85 elf inaniumaga sana, Dstv gharama zao ziko juu, nikipata nafasi ya kuiba nitafanya hivyo bila kusita ulaya watu hawalipii tv kiasi hicho
 
Mkuu, acha kupotosha, inaonekana wewe experience yako katika kutumia hivi vi2 bado ni ndogo. Kwanza kabisa inatakiwa ujue kuwa tunaotumia hii huduma tunaiba tu ili nasi tuwe na angalau ya access ya DS nyumbani hivyo hatuwezi kuwa sawa na wale wanaokula kwa halali. Wengine sisi ni wapenzi wa free to air tv na hii receiver inatupa thamani ya receiver ya Mpeg 4 PLUS pay tvs. Hapo tu DS anasubiri kwa maana DS hauwezi kuitumia kupata free tvs zilizo nje wa muelekeo wa DS. Pia Premium packages ambayo yunaipata hapa DS inauzwa 135,000 wewe unasema bei ya receiver ni bora ununue DS? Ina maana hata bei ya installation ya DS huijui achilia mbali bei ya mwezi. Binafsi mara ya kwanza niliona nimepoteza lengo kwa kununua hii kitu, lakini nilichogundua kua ki2 kikubwa kinachotuangaisha ni stability ya net zetu. Mfano eneo ninaloishi mitandao yote inaspeed ya hatari isipokua Zantel hivyo akili yangu ilikua inanituma nitumie hiyo mitandao ku unlock pay tvs lakini sikupata matokeo mazuri, siku moja nikajaribu hii ambayo ndio slowest ndio imeniletea matokeo mazuri na hata kukatakata inachukua muda sana. Wengine wanasema kinakata kama startimes bahati mbaya mimi ninayo startimes ambayo inakatakata hiyo nimeshindwa kabisa kuitumia lakini hii ngoma ni masaa 24 maana mama yeye ni Magic swahili, Madogo cn na mimi mwenyewe ni ss mwanzo mwisho. Ni kweli napenda kuwe na marekebisho ili isikate kabisa tuzidi kuinjoy lakini sio kusema hamna kitu kabisa kwamba watu wamepoteza - fedha zao laaaa. Mkuu kuwepo nyumbani kwa sisi wapenzi wa mpira na kuchagua game unalolitaka sio jambo dogo, au kuangalia free tvs kutoka kila upande plus ds na Aj sio jambo dogo oh!

Mkuu Likwanda unaposema napotosha watu nadhani hunitendei haki, heading ya sredi yangu inajieleza wazi kabisa, maudhui ya sredi hii si kupotosha au kushambulia G6 bali nilikuwa najaribu kueleza ninacho kipata kutoka g6 ulinganisha na matangazo yake na matarajio yangu kwenye hii product.
Binafsi sijanunua g6 kwasababu nataka kupata FTA ambazo DS hawana nimenunua kwasababu nataka kupata pay tv thats why nitakuwa nalipia kila mwezi

Maudhui ya sredi yangu ilikuwa ni kushare experience na kuomba wengine kushare zakwao may be kuna sehemu nakosea au labda kuna namna bora ya kufanya kupunguza kero katika uangaliaji
Binafsi nina muda mchache sana weekday kukaakuangalia tv labda weekend na kila mara nipatapo nafasi hii kusema ukweli ninapata asilimia kama 35 tu ya kile nilitarajia

Hoja ya kuwa kwakuwa tunaiba basi ni haki kupata kitu kibaya sidhani kama ni sahihi sana, natumia PD Proxy na napata ninachopata kwa asilimia kubwa sana, kinacho takiwa hapa ni kujaribu kupeana mbinu mbali mbali tunazotumia kuhakikisha tunapata kilicho bora angalau

Mtazamo wangu kwa ujumla ni kwamba kama una DS na ukaacha kulipia utegemee g6 kama mbadala kwakweli utajuta
Lakini kama wewe ni mwenzangu na mimi hauwezi kumudu DS basi nakushauri nunua tu hii g6 angalau you will get something
 
Last edited by a moderator:
Mbona ipo vzr mkuu hacha kukata tamaa mtoto wa kiume, vipo stable mm nakula ma Hd kwa kwenda mbele
 
shiiiiiiiii kimya kimya kitu kipo stable.......hakikati aiseeee dah sikukuu itakua tamu sana
 
Mkuu natambua mwizi hawezi kula sawa na mwenye mali lakini sasa isiwe too much bana, kumbuka we pay for this kwa kutegemea angalau kupata kaunafuu na si karaha

hahaha, kaka umeongea kwa uchungu sana, huwa unalipia premium?
 
Mkuu, Paul S.S naomba kama nimetumia lugha ya kuuzi unisamehe maana nilijua ni ID nyingine ya MARUMARU ambaye amejibu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, Paul S.S naomba kama nimetumia lugha ya kuuzi unisamehe maana nilijua ni ID nyingine ya MARUMARU ambaye amejibu.
mkuu mimi sina ID mbili kwan sioni umuhimu wake so unaposoma post au comment yangu juu iko ID moja tuu ya jina kama hilo yenye kumbeba mtu mmoja tuu
 
Last edited by a moderator:
Paul S S, Kwanza napenda nikushukuru kwa kuanzisha hii thread ambayo tunaweza ku "share" experience za matumizi ya G6 ambapo pia tunaweza kuelekezana ili tupate kukitumia kifaa hiki vizuri zaidi.
Kwa mawazo yangu kitu kinachotumiwa na watu wengi lazima kitakuwa na experience tofauti. Nimepata hiki kitu week 3 zilizopita, siku za mwanzo kweli kalisumbua mpaka nikaona hiki kitu sio deal! lakini siku zilipokuwa zinakwenda naweza kuona kuna improvement kidogo kidogo, Pia hizi forum zinasaidia sana kutupa feedback maana nilikuwa nikiona channels fulani hazionekani unakuta wenzako wanaona au hawaoni unakuwa unaweza kujua tatizo ni lako au sio.
Maeneo ninapoishi tunaamini Vodacom internet yake ipo fast kwahiyo sim card yangu ya kwanza ilikuwa ya Vodacom. Siku chache zilizopita niliamua kujaribu sima card ya airtel mabadiliko yamekuwa makubwa mno. kukatakata nimeshaanza kusahau na kubadili channels zinatokea haraka kuliko mwanzo.
Nilikuwa mteja wa D**V premium nishaamua hii imetoka! Mimi decorder yangu ya D**V ni ya zamani haifungui HD channels sasa g6 inafungua na sasa zipo stable kwahiyo sioni kwanini niendelee kulipia.

Hii ndio experience yangu fupi.
 
Mkuu Pc nashukuru kwa kuweka uzoefu wako juu ya g6
Nipo mkoa kwa sasa nikirudi Dsm nitajaribu simcard tofauti maana hapa nilipo voda na airtel minara ipo jirani
Wengi wamesema pia zantel ni rafiki kwa g6 so nitajaribu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom