AZSKY G6: Please share your experience

AZSKY G6: Please share your experience

Aiseee! Nlikuja kuamini kuwa bure ya ghali. Hivi vitu unapata uhondo almost karibu na Bure ila sasa tabu yake, channels zinavyo freeze, ww mwenyewe utakoma. Ila zinatusaidia kwa kweli. Natumia G6 na Dreambox. Dreambox ni babalao kwani ziko sokoni kwa zaidi ya miaka 10. Na hata wazungu wenyewe wamezikubali.
 
how to get dreambox??? na installation yake inahitaji nini na nini??:help:
 
Nimerudi dar lakini hiyo improvement inayosemwa mimi sojaiona kabisaaa
Kitu ina stuck kama kawaida yake
Kunafundi nimeambiwa mtaalamu wa G6 anakuja jioni labda anaweza kuweka mambo sawa
 
I love futiboli na michezo kwa ujumla
Thanx to pd proxy inanisaidia angalau kuwatch fotiboli online bila zengwe wala kustuck
 
Kuna mtu anapata Sony Max? Naipenda sana hii channel
 
Nimerudi dar lakini hiyo improvement inayosemwa mimi sojaiona kabisaaa
Kitu ina stuck kama kawaida yake
Kunafundi nimeambiwa mtaalamu wa G6 anakuja jioni labda anaweza kuweka mambo sawa

improvement nadhani ilikua ya muda tu ndugu yangu sasa hivi kama kawa kustuck tena kwa sisi wapenzi wa mpira ndio kabsa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom