Steven Sambali
JF-Expert Member
- Jul 31, 2008
- 364
- 184
BAK.. unanielewa vibaya kabisa. Mimi sipingi uraia wa nchi mbili at all.. napinga kanuni zinazopendekezwa. Hatuwezi kubadilisha nature ya uraia wetu kwa sababu ya rangi, nasaba, hali ya kiuchumi, kufuata mtindo n.k.. we have to articulate proper arguments why we have to change.. siyo nchi zote duniani zinaruhusu uraia wa nchi mbili hata zile za kiafrika au za kimagharibi. Sielewi kwanini tuonekane tunafuata zile za nchi fulani na zile za nchi nyingine tuone hazifai.
Like I said, usinichokonoe zaidi. Lakini Watanzania wenye uraia wa nchi mbili ni reality.Si kweli,i beg to differ,nadhani watanzania wenye uraia wa nchi mbili ni hao mabalozi wanaoiwakilisha nchi huko middle east,nje ya hapo si watanzania tena,rather ni "waliokuwa watanzania" ambao sasa ni raia wa nchi nyingine,mfano huyo wa nchi ya Scandnavia,yeye si mtanzania tena,however angeweza kuwa mtanzania kama angepelekwa huko middle east ama kama sheria ingebadilishwa.
Like I said, usinichokonoe zaidi. Lakini Watanzania wenye uraia wa nchi mbili ni reality.
jmushi1,No,kuna waliokuwa watanzania ambao sasa wana uraia wa nchi nyingine na si uraia waTanzania tena,nadhani wanaweza wakawa na uraia wa nchi mbili,say US and UK,lakini si watanzania tena.
The only time tumeweza kuona kuna uwezekano wa kuwa mtanzania mwenye uraia wa nchi mbili "kihalali" Yani wasiokuwa watanzania(kwa upande mwingine)ni hao mabalozi wa middle east.
Inategemea in which angle you're trying to look at it....Nakubaliana na "Reality" unayoizungumzia only in the middle east tho,nikiwa na maana ya kukubalika na serikali regardless to wether sheria imevunjwa ama la.
jMushi1
Mkuu usibishe kitu ambacho hufahamu. Mimi binafsi nawafahamu wabongo wengi tu wana uraia wa UK, South Afrika, USA nk. hao wote bado wana passport za bongo na wanadunda tu tena usifikirie ni watu wenye hadhi za ubalozini au mawaziri etc. watanzania wa kawaida kabisa na wewe ukiambiwa utabisha. Dunia tambala bovu halikawii kuchanika.
jmushi1,
Ninachosema ni kwamba tukienda DSM sasa hivi kuna Watanzania ninawafahamu wanazo pasipoti mbili. Bado wanashikilia uraia wa Kitanzania wakati wameshachukua uraia wa Marekani, Canada, etc. That's all.
Now that is the point. "Halali." Hatuna panya wa kumfunga paka kamba. That is what I am saying.Sawa lakini hao si "Halali" Kisheria,si raia wa Tanzania.
Kuna ubaya gani kuhakikisha sheria zionyesha wazi kazi ambazo watu wenye uraia wa nchi mbili wanaweza kufanya?hapa ndiyo tatizo la uraia wa nchi mbili labda pia litaonekana. Je, tuko tayari rais wetu awe ni raia wa Tanzania na Kenya at the same time? au wa Rwanda na TZ at the same time au nchi nyingine yoyote? Vipi kuhusu Ubunge, Uwaziri, Ukuu wa Jeshi, vyombo vya usalama n.k?
Kuna ubaya gani kuhakikisha sheria zionyesha wazi kazi ambazo watu wenye uraia wa nchi mbili wanaweza kufanya?
Nafikiri hii kazi ya kuwakamata wanaodanganya ni wajibu wa serikali. Idara husika hapa watakuwa wamechemsha mno na kama tuko serious yaani mhusika wa hiyo idara hata angepoteza kazi.
BAK.. unanielewa vibaya kabisa. Mimi sipingi uraia wa nchi mbili at all.. napinga kanuni zinazopendekezwa. Hatuwezi kubadilisha nature ya uraia wetu kwa sababu ya rangi, nasaba, hali ya kiuchumi, kufuata mtindo n.k.. we have to articulate proper arguments why we have to change.. siyo nchi zote duniani zinaruhusu uraia wa nchi mbili hata zile za kiafrika au za kimagharibi. Sielewi kwanini tuonekane tunafuata zile za nchi fulani na zile za nchi nyingine tuone hazifai.
jmushi1,
Ninachosema ni kwamba tukienda DSM sasa hivi kuna Watanzania ninawafahamu wanazo pasipoti mbili. Bado wanashikilia uraia wa Kitanzania wakati wameshachukua uraia wa Marekani, Canada, etc. That's all.
Marehemu Barbara Johansson aliwahi kuwa balozi wetu Sweden/Mbunge wa kuteuliwa wakati akiwa Mswidi/Mtanzaniainadaiwa yeye ni raia wa huko huko tayari.. sasa nchi inampendekezaje raia wa nchi nyingine kuwa balozi wake?
Ooh jamani,ameukosa hivi hivi!sasa kama sababu ni hizo hilo pemdekezo lilitokaje wakati hakuwa na sifa?
Poland kwa sasa wanaruhusu mtu kuchukua uraia wa nchi mbili.
Ila huyo bwana Sikorski alikuwa na wa British na Poland na alipochaguliwa kushika nyadhifa kubwa, ilibidi wamnyan'ganye uraia wa British. Maana ingelikuwa kichekesho kama leo hii alivyo, Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Poland na pia ni Raia wa Uingereza.
Poland wanakitu kimoja kuwa kila raia wao anapewa Identity Card. Nilikutana na Mmoja ambaye kachukua uraia wa Tanzania na hivyo alirudisha passport ya Poland ila bado ana Kadi yake ambayo akiingia tu ndani ya Schengen, basi anaweza kuficha Pass ya Tanzania na akawa anatesa na hiyo Kadi yake.
Kwa faida ya WAZAWA, mtu anayerudisha Passport, anaweza kupewa Kadi ambayo itaruhusiwa kutumika mpakani mwa Tanzania. Hivyo, kama mtu anataka kwenda kuchakalika, basi anaweza kuchukua Passport mpya na kurudisha ya Tanzania. Akichoka kuishi huko, anaweza kurudi na kuomba Passport yake upya na ile ya ugenini wanaichukua na kuirudisha kwa wenyewe.
Mie walininyang'anya Driving Licence ya Tanzania na kuipeleka Berlin. Sijui iko pale au walishairudisha Tanzania? Unakuta wakati mwingine hata hawafahamu waifanye nini pale ubalozini. SIntashangaa nikisikia walilitupa maana hata muda wake umeisha.
discombobulated
Du hata driving leseni walikunyang'anya, sasa gaba la kijani si walilisaka sana? teh teh teh teh teh.
Mkama, kama ningelikuwa nimeomba gamba lao, basi tungelikurupushana na ofisi ya Rais wa hapa hadi waniruhusu niwe na zote mbili. Wakikataa unagoma kuchukua na unaomba tena hapohapo. Mwisho wanachoka na kusema "mpe mpingo hilo gamba asitusumbue tena" na mchezo unakuwa umeisha. Ukisikia watu wanalaani DC, na wewe unajifanya unalaani sana kumbe mhhh!!!!!!
Hatufuati nchi yoyote ile Mkuu Mkjj bali ni kwenda na wakati. .