jamaikatz
JF-Expert Member
- Jul 11, 2023
- 369
- 1,252
Aziz Ki mfumo umemkataa kabisa pale Wydad Casablanca, hapewi nafasi kabisa kuna uwezekano mkubwa akaondoka na kurudi Yanga kama watakuwa wamejipanga kumrudisha
Wydad hawathamini kabisa uwezo wa Aziz Ki, amekua akianzia benchi zaidi na kupewa dakika chache mno kama mchezaji wa kawaida kabisa, hii ni dharau kubwa sana na kwa alipokuwa amefikia Aziz Ki ni kumpoteza kwenye ramani ya soka
Kwenye michezo ya klabu bingwa dunia katika mechi 3 za Wydad amecheza dakika 11 tu, 7 dhidi ya Manchester City na 4 dhidi ya Juventus huku mechi dhidi ya Al Ain akiachwa kabisa
Hii imekua ni tabia ya kawaida timu za Uarabuni Afrika Kaskazini kuwachukua wachezaji wazuri na kuwamalizia benchi, hata Mayele pale Pyramids ilibaki kidogo akimbie maana walikua wanamueka benchi wanampa dakika nyingi mzawa ambaye hakuwa na uwezo wa Mayele
Inasikitisha sana aisee 😭