Aziz ki pole sana

Aziz ki pole sana

Aziz Ki mfumo umemkataa kabisa pale Wydad Casablanca, hapewi nafasi kabisa kuna uwezekano mkubwa akaondoka na kurudi Yanga kama watakuwa wamejipanga kumrudisha

Wydad hawathamini kabisa uwezo wa Aziz Ki, amekua akianzia benchi zaidi na kupewa dakika chache mno kama mchezaji wa kawaida kabisa, hii ni dharau kubwa sana na kwa alipokuwa amefikia Aziz Ki ni kumpoteza kwenye ramani ya soka

Kwenye michezo ya klabu bingwa dunia katika mechi 3 za Wydad amecheza dakika 11 tu, 7 dhidi ya Manchester City na 4 dhidi ya Juventus huku mechi dhidi ya Al Ain akiachwa kabisa

Hii imekua ni tabia ya kawaida timu za Uarabuni Afrika Kaskazini kuwachukua wachezaji wazuri na kuwamalizia benchi, hata Mayele pale Pyramids ilibaki kidogo akimbie maana walikua wanamueka benchi wanampa dakika nyingi mzawa ambaye hakuwa na uwezo wa Mayele

Inasikitisha sana aisee 😭
Wewe hujui MPIRA.
Hujui lolote kuhusu mpira wa miguu. Una bweka tu.
Mtu aliyesajiliwa juzi tu una muhukumu.
 
Aziz Ki mfumo umemkataa kabisa pale Wydad Casablanca, hapewi nafasi kabisa kuna uwezekano mkubwa akaondoka na kurudi Yanga kama watakuwa wamejipanga kumrudisha

Wydad hawathamini kabisa uwezo wa Aziz Ki, amekua akianzia benchi zaidi na kupewa dakika chache mno kama mchezaji wa kawaida kabisa, hii ni dharau kubwa sana na kwa alipokuwa amefikia Aziz Ki ni kumpoteza kwenye ramani ya soka

Kwenye michezo ya klabu bingwa dunia katika mechi 3 za Wydad amecheza dakika 11 tu, 7 dhidi ya Manchester City na 4 dhidi ya Juventus huku mechi dhidi ya Al Ain akiachwa kabisa

Hii imekua ni tabia ya kawaida timu za Uarabuni Afrika Kaskazini kuwachukua wachezaji wazuri na kuwamalizia benchi, hata Mayele pale Pyramids ilibaki kidogo akimbie maana walikua wanamueka benchi wanampa dakika nyingi mzawa ambaye hakuwa na uwezo wa Mayele

Inasikitisha sana aisee 😭
Pengine hapa ana uwezo ila kuke amekutana na waliomzidi, ni swa na mtoto wa kayumba umshindanishe na mtoto wa international school, tumpe muda atakaa sawa
 
Hayupo daraja la kina Messi kwamba aulizwe Leo tukupange au laah. Ni mchezaji anayetarajiwa kupigania namba. Hivyo atapigania namba tu kama ilivyo kawaida.
 
Aziz Ki mfumo umemkataa kabisa pale Wydad Casablanca, hapewi nafasi kabisa kuna uwezekano mkubwa akaondoka na kurudi Yanga kama watakuwa wamejipanga kumrudisha

Wydad hawathamini kabisa uwezo wa Aziz Ki, amekua akianzia benchi zaidi na kupewa dakika chache mno kama mchezaji wa kawaida kabisa, hii ni dharau kubwa sana na kwa alipokuwa amefikia Aziz Ki ni kumpoteza kwenye ramani ya soka

Kwenye michezo ya klabu bingwa dunia katika mechi 3 za Wydad amecheza dakika 11 tu, 7 dhidi ya Manchester City na 4 dhidi ya Juventus huku mechi dhidi ya Al Ain akiachwa kabisa

Hii imekua ni tabia ya kawaida timu za Uarabuni Afrika Kaskazini kuwachukua wachezaji wazuri na kuwamalizia benchi, hata Mayele pale Pyramids ilibaki kidogo akimbie maana walikua wanamueka benchi wanampa dakika nyingi mzawa ambaye hakuwa na uwezo wa Mayele

Inasikitisha sana aisee 😭
pole ya nini,kocha wala hajawafahamu wachezaji wake vizuri we subiri waende pre season uone
 
Aziz Ki mfumo umemkataa kabisa pale Wydad Casablanca, hapewi nafasi kabisa kuna uwezekano mkubwa akaondoka na kurudi Yanga kama watakuwa wamejipanga kumrudisha

Wydad hawathamini kabisa uwezo wa Aziz Ki, amekua akianzia benchi zaidi na kupewa dakika chache mno kama mchezaji wa kawaida kabisa, hii ni dharau kubwa sana na kwa alipokuwa amefikia Aziz Ki ni kumpoteza kwenye ramani ya soka

Kwenye michezo ya klabu bingwa dunia katika mechi 3 za Wydad amecheza dakika 11 tu, 7 dhidi ya Manchester City na 4 dhidi ya Juventus huku mechi dhidi ya Al Ain akiachwa kabisa

Hii imekua ni tabia ya kawaida timu za Uarabuni Afrika Kaskazini kuwachukua wachezaji wazuri na kuwamalizia benchi, hata Mayele pale Pyramids ilibaki kidogo akimbie maana walikua wanamueka benchi wanampa dakika nyingi mzawa ambaye hakuwa na uwezo wa Mayele

Inasikitisha sana aisee 😭
Mjifunze,
Na kama hamtojifunza watawafunza wao
 
Member mnashida sana yani ww unata afke na kuanza ww ulisikia wapi ?
 
Na yeye kwanini alienda? Si angelibaki kwa wabovu wenzie wa Yanga huku yeye akionekana staa?
 
Ndio kwanza kasajiliwa juzi mshaanza kulalamika. Kumbuka siyo kwamba wamemsajili kukiwa hakuna wachezaji wengine kwenye nafasi hiyo.
 
Huwezi fika na kupewa dk zote 90. Ikitokea hivyo jua kikosi cha hiyo timu hakikuwa na wachezaji. Lazima upewe dakika chachechache kwanza ili uzoee na kuingia kwenye mfumo
 
Yeye aonyeshe uwezo wake hata kwa hizo dakika chache anazopewa, uwezo wake utajieleza na ataheshimika kama alivyofanya Mayele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom