Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,362
- 4,934
Kaenda timu gani, mwambaWaarabu wamefanya biashara, wewe unasema ametemwa!
Anahitajika na Rhulani Mokwena nadhani MC Alger.Kaenda timu gani, mwamba
we mzee huyu kauzwa kwenda al itihad kwa pesa za bongo znakaribia b2
Amen. Ki the master!!
Sawawe mzee huyu kauzwa kwenda al itihad kwa pesa za bongo znakaribia b2
Achana na story za vijiweni wao wanafaidika nini? Wachezaji wenyewe ndio wakifika huko wana relax wanaona maisha wameyamaliza bila kujua wamepanda level ya ushindani inabidi kuongeza focus na mazoezi mbona Mayele, Dieng, , Traole wapo huko hawajashushwa viwangoArabs huwa wanachukua wale wachezaji wanaovuma kwenye klabu pinzani na klabu zao kimkakati ili kuzidhoofisha hivyo vilabu....Mara nyingine hata kama hawana nia na mchezaji basi wamtoa tu akakae bench
Kwa miaka ya karibuni wanazitarget Simba na Yanga, ila kwahuyu ni business