Aziz Ali wa Gerezani na Mtoni Dar es Salaam

Mjibujamaa kuwa ulikosea pale kusema Azizi Ali alikuwa Mwafrica Wa kwanza kujenga nyumba ya Vigae
Duduwasha,
Ungependa niendelee kueleza yaliyokuja baadae baada ya mswada
wa Dr. Kleruu kupotea maktaba ya TANU na kuchapwa kitabu?

Utakumbuka nilikuomba ruksa ya kusimama kidogo.
 
Duduwasha,
Ungependa niendelee kueleza yaliyokuja baadae baada ya mswada
wa Dr. Kleruu kupotea maktaba ya TANU na kuchapwa kitabu?

Utakumbuka nilikuomba ruksa ya kusimama kidogo.
Me sijaweka kipingamizi chochote humu na wala siwezi nachipinga unapoleta hoja tata ambazo si za kihistoria... Na ukiulizwa ujibu staha hata kama umjibuye si Muslim... Hupungukiwi na kitu... Yaani just like mtoto hata akikuuliza Mara mia ni kujibu sawa because ana learn from you. Hizi historia kama ni kweli ni kweli na kama ni upotoshaji nni hatari zaidi..
 
Gagnija,
Ile hotuba ya Mwalimu Nyerere anaaga na kuwataja wazee wa Dar es Salaam
kila ninapoisikia hunijaza simanzi nyingi sana.

Nasikitika kwa kuwa wale wazee wote wana majina yao na kila mmoja wao
alikuwa na mchango wake katika kupigania uhuru.

Iweje hakuweza kuwataja kwa majina yao angalau wawili watatu hivi?

_F7Oz52i1_JqWSbrtBuf8AWfGPo-JKIpScb0EwoJzrPeXXBJZWVjS6TAJsZtF8zwBpgdDehwmocpxP-M8IT8fgBXlW82agpWvNuKOCq7fmcbnicSqPgaIQU_80A2JEbmYv_3CyZBaYZuYXMB6uxo4sVONHdbKOx8LIw9XdUCGUB2DtRZ_OuIebwGGbffixm4BLGsfNHdTm794nCmOz03kQTt91us-xMfLlaRKdXg3hFlY_4gA5Bs_JANtsF24Vo-vEfu6CgZIiC8oy1k03lpUD2t--7AwKyDoXhrJt1lUm2x4bZxUxdSiniNCI6h3HRwaB2AMQzckHzEb04-um2NOWQxIUZr6z0hRn9kQjuG_-r3hUMFmEpMKf23YnyH8Fur0cxXrHAhYaI-u4Rtla9Tbm2DfW072MnKO4JEA75DolrPiU2rsqZZOWWukn52hHjWPxFustTCiPra7aNNx2kBt6i3s_tcBVoThvJ35URfPJPEx8x23rv_jQzTD2mWP28zTQj2YRd_w8rOPk3X0OwguJenNws4I1w5KhXTWSOlwdFOFcDe3x6s8nqlbB1mhFjkhFH_DfnGrq9eI6FLA-RNPWR3ed7x7zZ7oudoAchVA5UljU-lcC-Pdw=w519-h692-no
Nimeelewa wewe na FaizaFoxy kwanini mna ugomvi na Nyerere mna mahusiano baina ya hao wazee so its time for you and her to revange oi. Pengine hao watu walikuwa ni matreita against him au walikuwa wanatoa siri kwa waingereza au uchonganishi au majivuno ya kijinga n.k ni very easy kuwa wipe kuliko assassination
 
Me sijaweka kipingamizi chochote humu na wala siwezi nachipinga unapoleta hoja tata ambazo si za kihistoria... Na ukiulizwa ujibu staha hata kama umjibuye si Muslim... Hupungukiwi na kitu... Yaani just like mtoto hata akikuuliza Mara mia ni kujibu sawa because ana learn from you. Hizi historia kama ni kweli ni kweli na kama ni upotoshaji nni hatari zaidi..
Duduwasha,
Ingelikuwa mimi naandika uongo nisingechukua muda ningekuwa nimeshafutwa
katika duru hizi za utafiti na uandishi wa historia ya Tanganyika.

Nakuwekea barabara niliyotembea:
  1. PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
  2. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
  3. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
  4. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
  5. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
  6. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
  7. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
  8. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
  9. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
  10. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
  11. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
  12. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
  13. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
  14. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
  15. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
  16. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
  17. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
  18. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
  19. Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
  20. Awards: Several Awards.
  21. Visiting Scholar: (2011)
  22. University of Iowa, Iowa City, USA
  23. Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
  24. Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin, Germany.
Duduwasha,
Unadhani hao hapo juu ni watu wa kufanyiwa mzaha?
Ungependa nikuhitimishie nini kilitokea baada ya historia ya kweli kukataliwa?
 
Nimeelewa wewe na FaizaFoxy kwanini mna ugomvi na Nyerere mna mahusiano baina ya hao wazee so its time for and her to revange oi. Pengine hao watu walikuwa ni matreita against him au walikuwa wanatoa siri kwa waingereza au uchonganishi au majivuno ya kijinga n.k ni very easy kuwa wipe kuliko assassination
Duduwasha,
Hili suala la kuvuruga historia utalikuta kila nchi Afrika.

Kenya kwa muda mrefu sana walimpuuza Dedan Kimathi, Bildad
Kaggia
na wapigania uhuru wengine.

Historia ya uhuru wa Zanzibar hadi leo hakuna kiongozi anaitaka wao
ni mapinduzi tu.

Hata hayo mapinduzi yenyewe wahusika wakuu hazikuandikwa historia
zao hadi Dr. Harith Ghassany alipoandika kitabu maarufu, ''Kwaheri
Ukoloni, Kwaheri Uhuru.''

Hakuna usaliti wowote katika historia ya TANU uliowahusisha hao wote
niliowataja katika kitabu cha Abdul Sykes.

Ukiwa unataka taarifa za usaliti katika harakati za kudai uhuru katika
utafiti wangu nimekutana na kesi tatu tu.

Kuna kisa cha Alexander Thobias, Martin (sina jina la pili) na cha
huyu ambae sitamtaja kwa sasa.

Alexander Thobias yeye huyu alichukua majalada ya TAA aliyopewa
na Abdul Sykes akawapa Special Branch.

Alexander alifukuzwa chama.

Martin alimchoma Dome Budohi kwa Waingereza kuwa alikuwa na
uhusiano na Mau Mau.

Budohi alikamatwa na kufungwa Kenya kisiwani Lamu.
Budohi kadi yake ya TANU ni no. 6.

Umezungumza kuhusu majivuno na fitna.

Abdul Sykes hadi anaingia kaburini hakupata kusema kuwa yeye ndiye
aliyeasisi TANU au ofisi ya TANU ilijengwa na baba yake juu ya kuwa
kulikuwa na kejeli kuwa TAA kilikuwa, ''chama cha starehe,'' nk. nk.
ingawa rafiki zake wengi kama Ahmed Rashad Ali walimtaka aeleze
vipi TANU iliundwa.

Duduwasha,
Mimi hawa watu ni sehemu ya maisha yangu wengine wamenibeba
nikiwa mtoto mdogo pale Kipata Street (Sasa Mtaa wa Kleist).

Mzee Shebe aliyenipiga picha yangu ya kwanza nikiwa na umri labda
wa miaka 2 ndiye alikuja kuwa mpiga picha wa TANU na Nyerere 1955.

sZmJUy1NKVdJ_17VCimEm9GocrVhV1siKZ_KmyfVQg93XqxtZHDqVh8QNBEtfD2qriP4MCCCiL8qhCSS3fXiXioJr8wYg5tJ4Y_UxAX7nKtlWQZZtAZotwqo73Zc9HHkInY-eK7LCP2b8zaRwNevUkmJgAQgwbWas9QfKeOmo7FhOfjpq08tZqZgVhO690hGsKpuJrzDT9cUXRBvUjh2euJbvaeoRNmyFn_L74H9AoWd9VACHbNdJdk6nyM4D4W5CgzyvGQ55xFQKMrT4Ym9PYgialnxU2jzmSkyUUB4429TnIAmOeYB5WJKaD6gXxgY8gCYyqSxjJBRLT7pK751xvy6Ju2pCHnLK5NZGtXTJbXsShHS7NgLomXD-OAYWgSWZ9SJ7vF3GW0SS_Y5Rxzeh0ZdZ_TNC3mwQXWfIzamphdvEtnhYnzDzIFJR-Pv9l9i1PfDz5eWSioI1pbJiaeQTx0-O620dB4mV0uHKOpubZt_nOBtsbO-dmSjz8d94ZFVMaSkyMMPy0vdZQH7GqJV9hiM2mmOPso3guBEcgcp6ac2VGIE4YP6iP2DzbwotLPlWcVmyZH11kBs6GhOt5R6b-pVQMB_RK2w0FuraVXWvBlI9QrTuddGXA=w457-h692-no


Unazungumza habari za ''assasination,'' kwa lipi hadi watu wauane?
Jitulize na niulize chochote kuhusu TANU na watu hawa nitakupa majibu.

Mohamed Said: HISTORIA YA JOMO KENYATTA NA ABDULWAHID SYKES 1950
 
Mwana,
Hawa watu wameacha historia zilizotukuka na ndicho kilichonifanya
mimi ninyanyue kalamu kuandika historia zao.

Mengine ya Dossa hayajaelezwa.
Hamza amefariki.
Napendekeza wachangiaji wasome andiko lako "Tanzania, a Nation without heroes"
 
Nimeelewa wewe na FaizaFoxy kwanini mna ugomvi na Nyerere mna mahusiano baina ya hao wazee so its time for you and her to revange oi. Pengine hao watu walikuwa ni matreita against him au walikuwa wanatoa siri kwa waingereza au uchonganishi au majivuno ya kijinga n.k ni very easy kuwa wipe kuliko assassination
Shukrani ya punda ni mateke. FaizaFoxy kasoma nje ya nchi toka shule ya msingi hadi chuo, yote kwa fadhila alizotendewa baba yake na Mwalimu Nyerere, lakini tazama anavyomkejeli Mwalimu humu!
 
Me sijaweka kipingamizi chochote humu na wala siwezi nachipinga unapoleta hoja tata ambazo si za kihistoria... Na ukiulizwa ujibu staha hata kama umjibuye si Muslim... Hupungukiwi na kitu... Yaani just like mtoto hata akikuuliza Mara mia ni kujibu sawa because ana learn from you. Hizi historia kama ni kweli ni kweli na kama ni upotoshaji nni hatari zaidi..

2016%2B-%2B1
 
Bukyanagandi,
Nilichosema ni Wazulu walipigana na Wareno Mozambique.

Rudia kusoma upya tafadhali.

Hapana Mkuu Moh, nilikuwa namjibu binti aliye toa ufafanuzi kwa Nyani Ngabu kuhusu origin ya majina ya Sykes.

Nilikuwa sijasoma post yako, ngoja niipitie kwanza.
 
Gagnija
Sikumbuki swali hilo.
Hapana sina udugu na yeye wa damu.

Gagnija,
Nimekuta katika maktaba yangu nyumba ya Kleist Sykes aliyojenga
1942 na nyumba hii ikajakuwa kitovu cha harakati za kupinga ukoloni
katika miaka ya 1950s wakati mwanae Abdul alipokuwa anaishi hapo:

2016%2B-%2B1


Hiyo hapo juu kulia katika gazeti ndiyo ilikuwa nyumba ya Abdul Sykes aliyoishi
na Nyerere 1954 nyumba hii ilikuwa Mtaa wa Stanley na Sikukuu.
 
Gagnija,
Nimekuta katika maktaba yangu nyumba ya Kleist Sykes aliyojenga
1942 na nyumba hii ikajakuwa kitovu cha harakati za kupinga ukoloni
katika miaka ya 1950s wakati mwanae Abdul alipokuwa anaishi hapo:

2016%2B-%2B1


Hiyo hapo juu kulia katika gazeti ndiyo ilikuwa nyumba ya Abdul Sykes aliyoishi
na Nyerere 1954 nyumba hii ilikuwa Mtaa wa Stanley na Sikukuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom