Azimo secondary dodoma na div 0 137

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Jamani hii shule serikali ina mpango gani???

mwaka huu

div 1=hakuna
div i i= 5
div i i i =11
div iv =122
div 0=137


ADA NI KWA WALE WA HOSTELI NI ZAIDI YA MILIONI...
 
Hata hvo wamejitahidi ndugu. Hapa tatizo sio shule ila watoto ndio wazembe ,wengi wanawaza mapenzi na kuuliza disco 84-club na kwingine. Walim wanafundisha na si kufelisha.
 
Acha majungu ww, mbona city sec wamefeli zaidi Azimio? City one hakuna, two 2, three 14 four kibao na zero 172. Kumbuka watoto wanaoenda shule hizi ni wale walofeli kabisa std 7, pia ni hawa walopita fm 2 hatakama una wastani wa 2.
 
Hivi, inakuwaje kwenye shule unakuta kuna aliyepata div 1 mmoja, chache div 2 afu na sifuri za kutosha? Tatizo ni walimu na vifaa ama tofauti ya juhudi na uwezo wa wanafunzi?
 
Back
Top Bottom