Tunaweza kulipitia azimio upya kwa kuzingatia misingi yake mikuu na kuanzisha sera mpya ya ujamaa na kujitegemea. Viongozi wetu walipiga teke azimio la arusha baada ya kurubuniwa na ubeberu.tuungane shime watanzania AZIMIO la arusha ndio jibu letu
Mkuu kwani lilienda wapi?
Hebu fatilia hii link ujikumbushe Azimio la Arusha lilikuwa linasema nini ndugu ZeMarcopolo (The Tanzania National Website). Kwa mtazamo wangu mazuri Azimio hili ni zaidi ya 85%.
Mkuu kwani lilienda wapi?
Wewe ni mburula maana kila thread unatetea magamba hata kama ina maslahi kwa taifa wewe unatetea magamba.jamani ebu tuweni na uzalendo japo kidogo maana watoto wetu, wajukuu zetu wataenda wapi kama nchi yote itauzwa kiholela namna hii? Buku 7 haziwafikishi popote hebu jaribuni kuwa serious kidogo.Azimio la Arusha ni zuri kwa nchi ambayo ina social security sytem inayogusa raia wake wote.
Mtu anapokuwa kiongozi na kukatazwa kumiliki biashara yoyote, siku akipoteza maisha watoto wake hawana mtu wa kuwahakikishia financial support.
Cha msingi ni kuwa na mifumo inayohakikisha kuwa ubadhilifu unashughulikiwa ipasavyo. Kukataza watu kuwa na mali ni kuwakataza kutumia ubongo wao. Allow people to think. Nchi haiwezi kuendelea kama watu wake hawafikirii njia mbalimbali za kujikomboa kiuchumi. Bill Gates angekatazwa kuwa na biashara leo hii kusingekuwana na Microsoft.
Katika azimio la Arusha kiongozi anatafsiriwa kama Kiongozi pamoja na mke au mme wake. Hii ni kumaanisha familia ya kiongozi yoyote hairuhusiwa kufikiria uzalishaji mali mwingine wowote, itegemee mshahara tu!!!
Azimio HALITEKELEZEKI...
hii inatakiwa iingizwe kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM - 2015 NIMEIPENDA!!!Mtu anapokuwa kiongozi na kukatazwa kumiliki biashara yoyote, siku akipoteza maisha watoto wake hawana mtu wa kuwahakikishia financial support.
..
Mkuu naomba unijuze hivi azimio la arusha lilikuwa bado linaishi by 1990 let alone 1991?Wewe hujui kilichotokea Zanzibar 1991 baada ya Halmashauri Kuu ya CCM kukutana Zanzibar na kuligeuza Azimio la Arusha? Kama hukumbuki, basi fata link hii (KUFA AZIMIO LA ARUSHA:Nyerere alivyotofautiana na Mwinyi - Makala - mwananchi.co.tz).