Azaveli Lwaitama ajiunga CHADEMA rasmi

Vipi ulipata majibu yako: Kigaila kuivunja CDA, Dk Lwaitama ajiunga Chadema | MwanaHALISI Online
 
ni mzuri sana ni mwalimu wangu,anapenda sana mabadiliko...he has selected a right place!
 
Duu,huyo ni naye ni mchaga? Maana mmezoea uzushi eti cdm ni ya wachaga tu

Anayesema Chadema ni ya wachagga anakosea na pia mzushi Chadema walio wengi ni wachaga, kuanzia idadi ya viongozi wa juu mpaka idadi ya wanachama na washabiki wako ukipiga ratio
 
kumbe alishahamia Chadema!!
Ndio hata wale maaskofu wakatoliki wote wanadai katiba mpya nao wako cdm... Pia kikwete aliyeruhusu kuanzishwa mchakato wa katiba mpya nae ni cdm damudamu...
 
Ndio hata wale maaskofu wakatoliki wote wanadai katiba mpya nao wako cdm... Pia kikwete aliyeruhusu kuanzishwa mchakato wa katiba mpya nae ni cdm damudamu...
Mbona kama umehamaki hivi!!
 
Mbona kama umehamaki hivi!!
Inawezekana kwa sababu akili zenu mnazijua wenyewe...kwa kila mtu anayeishauri serikali au kudai kitu fulani ambacho ni haki yake anaonekana ni mpinzani....!! Wwe kama ni kijana umeenda shule hebu saidia hata kidogo....hakuna serikali ulimwenguni au kiongizi asiye semwa lazima akosilewe kwa namna yoyote ili matokeo chanya yaonekane... Sasa sisi ambao tunatakiwa kuishauri serikali ili itutoe hapa tulipo tumekuwa waimba ngonjera za kusifu wafalme ambazo zinawajaza viburi na kujiona Mungu watu
 
Amenunuliwa kwa bei kubwa naye Chadema imeanza kujibu mashambulizi.
Huundiyo ujanja wakinunua na ninyi mnanunua.
 
Hawa ni baadhi ya wasomi wachache wanaojitambua, tumbo lake halimpelekeshi. Anafahamu faida ya upinzani kuwepo ndani ya taifa. Sio mnafiki kama wale wengine akina B.
 
Tuombe atapewa fursa ya kuleta mabadiliko ndani ya Chadema. Ni msomi atasaidia lakini sii mtu wa matusi wala maandamano
 
Sijaona ushauri wowote kwa Serikali kutoka kwako au chama chako zaidi ya kuizushia tu
 
Sijaona kivuko kibovu
 
Hebu msiende mbali sana kumsifu, kesho akija na ushauri wa kufanya mazungumzo na serekali au kusifu juhudi za Raisi, mtakuja kumuita jasusi ama kapi. Chungeni ndimi zenu wanaCHADEMA, maana nyie ni mahodari wa KUBADILISHA GIA USINGINZINI
 
Sipepesi macho nasimamia ukweli sikubali kushikiwa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…